Recent content by hannibal_lecter

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Haya tupe maujanja ya IPHONE.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Nafikiri njia ya 3 itakuwa nzuri zaidi,tupe ndugu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuandika private number kwenye gari zipoje

    Sasa hivi ni milioni 10 kwa miaka 3
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huku TANGA luku mtazileta lini sasa inapita miezi miwili mita za luku hamna.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

    Hio ofa ya voda inatofautiana baina ya mteja..kwa mfano mm napat 3gb kwa shs 2000 kwa siku 5.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Gb WhatsApp New Version

    Unaweza ukawa nayo whatsaap yako ya kawaida na uka install gb whatsaap kwa namba nyingine kwa hio ukawa na whatsaap mbili kwenye simu moja..kwa mfano mm niko na whatsaap 3 namba tofauti kwenye simu moja.yote inawezekana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Gb WhatsApp New Version

    Link ya gb whatsaap version ya 5.9
  8. H

    JamiiForums Tanzania Gb WhatsApp New Version

    GBWA v5.90-2.17.296 @atnfas_hoak.apk
  9. H

    JamiiForums Tanzania Bundle za internet zenye gharama nafuu

    *149*03# inakuja 1. dakika 2.Data then unachagua data Lkn hii ni ya kwako tu sasa sijui wewe watakupa ofa gani kwenye data.jaribu hivyo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Bundle za internet zenye gharama nafuu

    Mm ni heavy user nafikiri inanifaa 10gb a night ya ttcl..kama kasi yake itakuwa ni 4G.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Bundle za internet zenye gharama nafuu

    Kasi ya internet ikoje?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Bundle za internet zenye gharama nafuu

    Mm natumia voda..3gb kwa shs 2000 tu kwa siku 5.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Dalili za kisukari ni pamoja na miguu kuwaka moto hii inaashiria kuwa nerve zako zimeathirika za upande wa miguu..na sukari ikizidi kwenye damu mate lia huwa mazito na wakati mwingine mdomo kukauka mate.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Gb WhatsApp New Version

    Link hio hapo.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom