Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Ungepata ushauri nzuri kama ungesema upo wapi
N sku 3 mkuukama una airtel
weka buku(1000) kwenye airtel money yako
kisha piga *150*60#
chagua namba 6(ofa kabambe)
then chagua 1
then chagua 3(uni)
alafu tena 1
unamaliza na kuingiza namba ya siri ya airtel money yako
UTAPATA
dakika 100 airtel-airtel
dakika10 mitandao mengine
sms 1000
GB 2
NB: utatumia ndani ya siku 4
enjoy
asante kwa kunisahihisha mkuuN sku 3 mkuu
mbona unaibiwa kwa buk2 hapo ukiongeza jero unapata gb4!Mie Niko voda natumia offer ya "ukonga family" yaan kwa 2000 napewa 1GB kwa wiki.
hawa watu ni wezi sana stak hata kuwasikiaMie Niko voda natumia offer ya "ukonga family" yaan kwa 2000 napewa 1GB kwa wiki.
Unajiungaje hiyo ukonga familyMie Niko voda natumia offer ya "ukonga family" yaan kwa 2000 napewa 1GB kwa wiki.
Kasi ya internet ikoje?![]()
Halotel ndio mtandao nafuu tanzania ikifuatiwa na airtel, voda na tigo kwa suala la internet wana ghali sana
Ipo vizurKasi ya internet ikoje?
Hii ni kwa mda gani mkuu...?![]()
Halotel ndio mtandao nafuu tanzania ikifuatiwa na airtel, voda na tigo kwa suala la internet wana ghali sana
Mtandao ganiTTCL wako vizuri wako na bei rahisi lakini pia kasi yake mpaka unapenda pesa yako inatumika kutokana na ubora wa huduma. View attachment 591891 View attachment 591891 View attachment 591892 View attachment 591893
Nmeipenda hii...vip 3g ake naweza ipata pia mkoani...nko maraTTCL wako vizuri wako na bei rahisi lakini pia kasi yake mpaka unapenda pesa yako inatumika kutokana na ubora wa huduma. View attachment 591891 View attachment 591891 View attachment 591892 View attachment 591893
Tumia zantel kitu kina kasi mbaya
Line zao zote za sasa ni za chuo.
Sh. 500--- mb 500 wiki
Sh.1500--- 1.5GB wiki
Sh.10000--- 10.5 GB nwezi
1 GB namaliza kwa siku 1.Mie Niko voda natumia offer ya "ukonga family" yaan kwa 2000 napewa 1GB kwa wiki.
Line yake inapatikana kwa mawakala? Au mpak ttcl ofisini kwaoTTCL wako vizuri wako na bei rahisi lakini pia kasi yake mpaka unapenda pesa yako inatumika kutokana na ubora wa huduma. View attachment 591891 View attachment 591891 View attachment 591892 View attachment 591893