Shukrani kwa majibu kwa ndugu yetuMuombe daktari akupe referrer ya kwenda kupima electrolytes maabara, kutokana na majibu atakushauri vyakula vya kula pia jitahidi kunywa maji angalau litre mbili kwa siku.
Sawa mkuuYou are not alone sir!! Tupo wengi na wana sema ni matatizo ya never, ukibahatisha tiba unitag
Shukurani ushauri wako ntaufanyia kaziHapo tiba ni chakula bora,matunda,maji mengi ya kunywa na mazoezi hasa ya kutembea kwa miguu sio kaumbali kadogo unataka kupanda gari tembea tembea kwa miguu damu ijisukume vizuri sehemu zote za mwili.
Nashukuru kwa ushauri wakoMuombe daktari akupe referrer ya kwenda kupima electrolytes maabara, kutokana na majibu atakushauri vyakula vya kula pia jitahidi kunywa maji angalau litre mbili kwa siku.
Kuna Jukwaa la Jokes ndugu ila sio hili.Ila la ganzi sina hakika sana... ilo la kuwaka moto em piga namba hii 114 nina uhakika watakusaidia kwa haraka
Itakua kuna dawa unatumia kwa mda mrefu, afu haunywi Maji. Kunywa Maji Lita 3 kwa Siku afu uje ulete mrejesho apa baada ya mwezi.Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Miaka 33 tatizo ni la miaka 2 maumivu makali kifuani mfano wa MTU aliyekaa karibu na moto. Lakini hayo maumivu huwa yanadumu kwa kipindi tu si wakat wote
Kapimwe Ulcers [vidonda vya tumbo]Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Sawa mkuu nimekuelewaKapime kiwango cha sukari kwenye damu( Blood glucose), pima pressure isije ikawa una shinikizo la damu( Blood pressure), pima na kaswende (VDRL)
Ahsante kwa ushauri wako nimekuelewaKapimwe Ulcers [vidonda vya tumbo].........
Navyo dalili hufanana ivo ivo
Nikiwa form one ilinikuta hiyo hali miguu kufa ganzi na kuwaka moto pia nilikuwa nikimeza mate nahisi kuna kitu kimenikaba shingoni kumbe nna acid nyingi mno .........
Nilibaini hivo bada ya kupima ulcers.
Nimekuelewa sana mkuuNingeshauri ukapime afya. Ila kikubwa kabla ya kujiongezea presha fanya yafuatayo.
- Kama wewe ni mnywaji wa pombe ACHA!
- Kama wewe hufanyi mazoezi anza MARA MOJA!
- Tumia vitunguu swaumu, tafuna kwa kiwango kingi kidogo kwa muda wa wiki mbili,
- Tumia tiba ya maji kwa muda wa mwezi mmoja kama ifuatavyo;
Fuata taratibu hizo hapo juu na utapona kabisa!
- Ukiamka asubuhi kabla ya kupiga mswaki, sali kwanza, then kunywa maji about 660 militers (roughly glass nne)
- Nenda kapige mswaki
- Baada ya mswaki usile chochote kwa dkt 45,
- baada ya dk 45 pata kifungua kinywa,
- Ndaki ya dk 15 baada ya kifungua kinywa unaweza kuongezea kula chochote, mfano matunda, etc
- Baada ya kifungua kinywa ukae masaa 2 bila kula wala kunywa chochote
- Baada ya hayo masaa mawili kula sasa kama ni lunch
- Hivyo hivyo, ndani ya dk 15 unaweza kuongezea kula chochote au kunywa chochote
- Baada ya hapo kaa tena masaa mawili
- Baada ya masaa mawili kula dinner (muda mzuri saa kumi na moja mpaka saa moja)
- Kama kawaida ndani ya dk 15 unaweza kuongezea kula chochote
- Baada ya hapo ratiba inaisha ile ya siku, lala na kesho endelea hivyo hivyo kwa muda wa mwezi mmoja.