Afixa0
Point nzur sana za mara hii wenye vigezo ndo wanaenda chuo tungekuwa mbal sana kielimu na kiuchumi mamilion yamepotea kuwasomesha watu hawana cfa za kutosha mwisho wa cku wanadisco na wanaograduate ajira mgogoro pesa walizokopeshwa zinakua zimeenda bure bt this year salute to all...
Swali langu lipo hapa mweenye uelewa aniambie kuhusu course ya logistics and transport management 2015/2016 kwenye helbs priority course haimo kwenye list lkn tcu admission guudebook imeandkwa priority vp mkopo watu wamepewa au imeandikwa tu?
Mcwe wapungufu wa akili nyinyi kwani mtu anapouliza kitu lzm kiwe kinamuhusu yeye tu Mwanamke hapaswi kuelewa kuhusu bikra? Km huna mawazo bora kaa kimya
Naomba msaada na ushauri, nikiingia kwenye period naumwa na tumbo sana mpaka kutapika. Pia siku zangu zinabadilika nikiingia tarehe 2 next month napata tarehe nyingine kuanzia 8 zinaendelea mpaka nafika tarehe 30.
Naomba kujua nini tatizo.
Naomba msaada kufahamu mwanafunzi wa aliyehitimu kidato cha sita masomo ya arts akipata Division one kama course anayoapply si priority mkopo inakua si uhakika licha ya kuwa ana one?
Msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.