Nikiingia kwenye period naumwa na tumbo mpaka natapika

Hannat15

Member
Jul 6, 2016
33
16
Naomba msaada na ushauri, nikiingia kwenye period naumwa na tumbo sana mpaka kutapika. Pia siku zangu zinabadilika nikiingia tarehe 2 next month napata tarehe nyingine kuanzia 8 zinaendelea mpaka nafika tarehe 30.

Naomba kujua nini tatizo.
 
Kuumwa na tumbo na kuharisha ni kawaida ila kupitiliza inachangiwa na mambo mengi ikiwemo msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom