Nitawezaje kumtambua mwanamke bikra?

Mpeleke kwa doctor akapimwe lakini ukisikia analialia huko chumbani kwa dokta usipige chabo plz.
 
He hee..yaani ye mwenyewe anaingia period then anataka kujua sifa za mwanamke bikra!!..naona kasahau bikra yake ilivyotolewa
Mcwe wapungufu wa akili nyinyi kwani mtu anapouliza kitu lzm kiwe kinamuhusu yeye tu Mwanamke hapaswi kuelewa kuhusu bikra? Km huna mawazo bora kaa kimya
 
Anakuwa mchafu mchafu asiyejipenda.Hataki manukato yoyote,yeye ni kijasho cha asili, na kipilipili chake juu hana muda nacho.
Kama huamini fuata masista duuh wenye kujipenda u will not find it ever..!!
 
Back
Top Bottom