Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,325
- 152,136
Mbona sijaona kitu cha ajabu ,au ni hao waliomaliza advance kuanzia 2014-2015 kuwa na minimum ya 6 points ambazo ni C mbili ??
C mbili ni kwa waliomaliza kidato cha sita kati ya mwaka 2014 na mwaka 2015.Nadhani hawa ni wale wa GPA ila wa mwaka huu na 2014 kurudi nyuma ni angalau D mbili.Ni D mbili, nafikiri sio C Mbili
Duniani kote utaratibu ni angalau Principal pass 2(walau E mbili).Vizuri sana, sasa unataka elimu bora kivipi kwa kupokea aliyepata S chuo kikuu?
Kuna mwaka kuna C mbili mkuu angalia vizuriNi D mbili, nafikiri sio C Mbili, kama zinalingana point ni kitu kile kile tu
Soma hapa:
http://www.tcu.go.tz/images/documents/REVISED_ADMISSION_CRITERIA_2016_final.pdf
Siongezi neno.
Soma hapa:
http://www.tcu.go.tz/images/documents/REVISED_ADMISSION_CRITERIA_2016_final.pdf
Siongezi neno.
Cha ajabu kipo mana zaman ordinary diploma ilikua 2.7 unaenda degree lkn sasa 3.5 thn UQFL6 imekua stopedMbona sijaona kitu cha ajabu ,au ni hao waliomaliza advance kuanzia 2014-2015 kuwa na minimum ya 6 points ambazo ni C mbili ??
Sasa kipi bora ?? Kikwete alituletea waliofaulu kwenda kidato cha kwanza ila hawajui kusoma na kuandika akaona isiwe tabu ngoja aje na GPA ,ndio hawa wanaoitwa sijui Vilaza Tukalamimika sana ubora wa elimu unashuka,sasa hivi wameongeza kiwango cha ufaulu bado malalamiko ,sasa kifanyike nini ??Cha ajabu kipo mana zaman ordinary diploma ilikua 2.7 unaenda degree lkn sasa 3.5 thn UQFL6 imekua stoped
NdioWadau naomba mnieleweshe kwa maana waliomalza form six mara hii DD ndo unaenda degree? Msaada pls
Cha msingi upate D mbili.Mbona sasa watu walikuwa wanasema division three hawatasoma degree
wewe degree utaisikia kwa majirani tuNina diploma ya civil engineering na GPA 3.3 yaani hiyo taarifa imenifanya kunyong'onyea sana ndo sipati nafasi ya kuendelea na degree, daaaa faraja inaitajika