Duh pole,bado unampenda na umechukua maamuzi ya fasta,itakugharimu coz bado hujamjua huyo mpya madhaifu yake,inaweza kua bora huyo wa kwanza,pia angalia upande wako,inawezekana unamadhaifu ambayo hutaki kubadilika,na unataka ubembelezwe tuuu,be care,mwanaume huwezi kumkomoa coz mda wako wa...