A husband/Life partner

A husband/Life partner

Thanks for your comment Nullpointer!I'm happy you have noticed something in me but it's very unfortunate that could be also a reason to keep some men astray! Some men fear smart women and that's very unfortunate. Kwa comment yako hii imenipeperushia ndege wangu ujue! hahaha!

Hehehe nimeingia kwenye hii thread sio kutafuta a partner ila to see how people write, human psychology is funny especially when it comes to these relationship stuffs, Nilichokutana nacho leo duh!, we mwanamke kweli una majibu I'll give you that, yaani the way you write and respond to stuffs unanikumbusha a lot of things. I think you are a smart lady na unajua what you want, Goodluck to you.
 
Marriage happens by chance not by choice

Hehehehe mkuu you are funny, nimesoma hii nimecheka sana.. Hiyo marriage by chance haiwezi dumu, Marriage is always a choice, lazima umchague mtu unayehisi anakufaa na yeye akuchague pia, ndio maana kuna engagement, if one isn't into you atakutupilia mbali, its that person's choice, hizi online quotes don't work sometimes, usiwe unazichukulia serious, ni mawazo watu wanaandika tu kujifariji kuepuka the reality.

We ukienda kununua vitatu utamwambia mwenye duka akuchagulie au utachagua kinachokuvutia mwenyewe? na kwenye msosi je? utakula unachoona wewe kitamu au ambacho rafiki yako kaonja kasema kitamu ila kwako si kitamu? ona tofauti ya choice na chance...
 
kwa mazingira yaliyopo na uhalisia, yupo sahihi kwa upande wa mwanamke, na ni kinyume kwa upande wa mwanamme. Ni kuweka juhudi upate yule mtakayeoana ktk hali zote, shida na raha.
 
kwa mazingira yaliyopo na uhalisia, yupo sahihi kwa upande wa mwanamke, na ni kinyume kwa upande wa mwanamme. Ni kuweka juhudi upate yule mtakayeoana ktk hali zote, shida na raha.

Kwa hiyo mwanamke haruhusiwi kuchagua?
Au unadhani neno mtoso lilitokea wapi? Kama hajapendezwa na mtu atamtosa tu, thats how it works. It is a choice..

We are talking of "marriage" here mkuu sio "falling in love"
 
kama unaifahamu ndoa na taratibu zake utaelewa nasema kitu gani, kwa mazingira tuliyonayo, mwanamke ana nafasi ndogo sana ya kuchagua na kufikia ndoa, na mfano ni mleta mada kwa umri aliofikia. Biashara za 'mtoso' zipo kwenye mapenzi ya kawaida ambayo mara nyingi huwa haya hayafiki kwenye ndoa kamili.
 
Basi mkuu kama ndio mazingira ya mtanzania wa kawaida hayo then I feel sorry for them, ni torture kumlazimisha mtu kuingia kwenye ndoa ambayo haitaki.

Hii mada naona tutaiendeleza mno, hii thread tumuachie mdada wa watu anatafuta mume. Hii discussion ni ya kwingine
 
ni kweli ils sisi tujitahidi kuwatengenezea mazingira waweze kuamua na kuishi maisha ya furaha, na naamini kama ana nia ya dhati atengeneze mazingira mazuri na atapata mume bora muda si mrefu.
 
Risenshine always Husband Material anakuwa created mama. So create your's usije ukalia zaidi mbeleni.

Akiwa sifa kuu nne
Perfect Husband NEVER DRINK
Perfect Husband NEVER SMOKE
Perfect Husband NEVER CHEAT
Percect Husband NEVER EXIST

Ukiweza mtengeneza mwenye hizi sifa kuu nne basi umeonja pepo milele.
 
Last edited by a moderator:
Nikuambie kitu! Ndoa nyingi unazoziona zinashida saizi ni kwasababu walioana kwa convenience na siyo choice! Mtu anaolewa au kuoa sababu umri umefika au sababu mwanaume ana hela. Akishafika ndani he/ she starts feeling the gap na hapo ndipo shida inapoanzia. Kuna rafiki aliniambia hivi "make sure you marry a man you really love and you think is perfect for you because once you will start living together you will discover some flaws you never imagined. But because you love him you will manage" Ila ukimuona ana mwanya na huupendi ila ukasema nitavumilia basi tambua mkianza kuishi pamoja huo mwanya utauona kuwa ni pengo na utamchukia zaidi. And that's where the problems starts! She is married experienced friend. So kwakuangalia mahusiano mengi ninaona kuna ukweli fulani. Ila perfection inayoongelewa hapa siyo in terms of height, body size or appearance. Ni mambo mengi hasa tabia!

kama unaifahamu ndoa na taratibu zake utaelewa nasema kitu gani, kwa mazingira tuliyonayo, mwanamke ana nafasi ndogo sana ya kuchagua na kufikia ndoa, na mfano ni mleta mada kwa umri aliofikia. Biashara za 'mtoso' zipo kwenye mapenzi ya kawaida ambayo mara nyingi huwa haya hayafiki kwenye ndoa kamili.
 
Nikuambie kitu! Ndoa nyingi unazoziona zinashida saizi ni kwasababu walioana kwa convenience na siyo choice! Mtu anaolewa au kuoa sababu umri umefika au sababu mwanaume ana hela. Akishafika ndani he/ she starts feeling the gap na hapo ndipo shida inapoanzia. Kuna rafiki aliniambia hivi "make sure you marry a man you really love and you think is perfect for you because once you will start living together you will discover some flaws you never imagined. But because you love him you will manage" Ila ukimuona ana mwanya na huupendi ila ukasema nitavumilia basi tambua mkianza kuishi pamoja huo mwanya utauona kuwa ni pengo na utamchukia zaidi. And that's where the problems starts! She a married experienced friend. So kwakuangalia mahusiano mengi ninaona kuna ukweli fulani. Ila perfection inayoongelewa hapa siyo in terms of height, body size or appearance. Ni mambo mengi hasa tabia!
huo ushauri ni mzur, tatizo vijana wanaishi maisha ya kuigiza katika mahusiano ya awali, na huu ndio mdudu unaowagharimu katika ndoa zao, ukiweza kumkubali na kumpenda mwenzako ktk hali zote, kuwa rafiki yake na kumshauri ktk hali zote, hutapata tabu kuishi nae kwenye ndoa.
 
I see bado una akili za kisichana...goo thing is ni vizuri kuwa nazo...better news is atakapokuja mwana wa Adamu kukuchumbia hivyo vigezo vyote utavisahau...just don't say no to a good man because he is 156cm tall or something like that. Many a women have committed such mistakes.

Omba sana Mungu akupe mume bora sio wa vigezo vyako ("si kama nitakavyo mimi, bali mapenzi yako yatimie...")

This is true safi sana
 
Kwa wale wenye vgezo unaachaje kuwa na mtu kama huyu sasa? Your xo wise in what u say/answer, worry out dada God will make a way 4 u on this n u will get a man of your type be blessed
 
Amen my friend. Be blessed more!

Kwa wale wenye vgezo unaachaje kuwa na mtu kama huyu sasa? Your xo wise in what u say/answer, worry out dada God will make a way 4 u on this n u will get a man of your type be blessed
 
Dah kwa sifa hizo ungekuwa ushaolewaa...okey

Makushauri punguza ngonjeraaa inaonekana wewe ni much know sana.

But kama una B nicheki PM tumalize hili swala na uondoe hili tangazo
 
Mmmnh pana shida hapo,guys tuwe makini,umri huo lazima utie shaka,pia maelezo yake ya mwisho utagundua ana booling flan kiaina,mtu akiona hapati mume mara nyingi hukimbilia kanisani,anyway maneno yangu sio sheria,ni mtazamo tu.
 
Ni vizuri umekiri kuwa huo ni mtazamo wako!

Back
Top Bottom