swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Kwa kweli huyu mtangazazi wa Itv anashindwa kusimamia na kuendesha kipindi cha Malumbano ya hoja kwa sababu kuu mbili:
+kuingilia mtu anapojaribu kujenha hoja na kumkatisha tamaa,unakosoa kana kwamba wewe ni mwl unasahihisha mtihani
+Unaonesha kana kwamba kila wanachokizungumza unakijua badala ya wewe kusikiliza na kurusha maoni ya watu.
Jirekebishe.