Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

it's "tutawabusu tu" and not "nitakubusu tu". I be kissing my man and my dolls will be kissing their gents too... anything wrong darlin?
"All circumstantial, case dismissed"

Circumstantial yeah, but there's motive and somewhat a confession. We have a case, but I'll take my time to present it.
 
Mwanaume akinuna mi naonaga kama ufyatu, mdomo unavutwaa vishavu vinavimba vinakua kama vipulizo vya Ubarikio....
Yani mwanaume anaenuna ni sawa na......nitamalizia baadae

ni sawa na asshole et??😀😀
 
basi wa kwangu anakipaji hicho na mie akinuna nanyamaza kimya siku hizi mwenyewe anaanza eti niliweka kitu changu hapa umeona aaaahahha

Ha ha ha afu mtu anaenuna hata usimshobokee wala kumuuliza ndo atajaa awe kama simtank, akinuna bila sababu weka mziki mkubwa burudika, yani be happy atajichekesha mwenyewe
 
Huku hakunifai...........ngoja nirudi kule kwetu,huku kuna wenyewe
 
Duh pole,bado unampenda na umechukua maamuzi ya fasta,itakugharimu coz bado hujamjua huyo mpya madhaifu yake,inaweza kua bora huyo wa kwanza,pia angalia upande wako,inawezekana unamadhaifu ambayo hutaki kubadilika,na unataka ubembelezwe tuuu,be care,mwanaume huwezi kumkomoa coz mda wako wa kuringa ni miaka 28 tu,huku mwenzio ata miaka hamsini hachuji.
 
Eti wanasema ukim delete wenzio wanam download

hasa sijui ndo hiyo imeshatokea au vepeee!!
 
Kawaida mabinti ndo wanapenda sana kununa,afu inakera kinoma ka matoto vile...,jitu linanuna mwezi mzima,je ndoa mtaziweza kweli na challenge zake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom