Recent content by HANDO

  1. HANDO

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa kisiasa Bukoba, Mahakama yawafutia nyadhifa madiwani saba

    teh teh mkuu me nakuunga mkono but tofauti yng na wewe ni kipengele moja tu wakati wewe upo na KINANA BARIDI Me nitakuwa hifadhin SERENGETI NIKIPATA YA moto.
  2. HANDO

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 26 May 2014

    :der:mkuu hiyo mbona kali kweli huku tanganyika taarifa huwa haifiki kabisa
  3. HANDO

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Uhariri (Moderators) JamiiForums (post 6)

    daaah coach wangu hapo UMENYEN nilikuwa napiga ngoz mbaya utasikia SAITAAA acha utani hiyo ilikuwa nyavu kabisa george eria badala ya george erila, r i p mwl mgaya
  4. HANDO

    JamiiForums Tanzania Wife yupo FB, WhatsApp, Tango, Twitter, Peperonity, Naija Friend, Badoo na Instagram

    saitaaaa ako,kwa vile denar doren anakutesa ebu nipe account yke moja niongee naye kinyumban? nikusaidie kwa ujumla dasu doren hawana shida kabisa bt wanakiburi ya kuzaliwa,
  5. HANDO

    JamiiForums Tanzania Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

    ORODHA ya vichwa waliopitia shule yA ilboru NA IMPACT ZAO kwa jamiii pima mwenyewe 1.tundu lissu 2.mwigulu nchemba 3.SUMAYE 4.LOWASA 5.MIMI R I P WALIMU WANGU mr mgaya,chief,shembilu
  6. HANDO

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    eti hawataki bodaboda katikati mwa jiji,HIZI AKILI NYINGINE HAWA VIONGOZ CJUI WANATAKAJE?au turudie kazi zetu za zaman nn huku unga ltd?
  7. HANDO

    JamiiForums Tanzania Quick Book Trainer Required

    kama upo arusha nichecki via 0756 67 60 99 cwez ku pm.
  8. HANDO

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Katika Kampuni ya Huduma ya Fumigation anahitajika

    kampuni yetu inashughulika na hayo bt tupo arusha.
  9. HANDO

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

    babu yangu mzee HHANDO aliniambiaga ukiona changamoto iko kali ujue mafanikio ni 1 step ahead-NDO Naanza kuamini rasmi labda naomba kuwakumbusha hawa akina NEPI jaman wa tz wanataka MABADILIKO bt c kupitia kwenu.
  10. HANDO

    JamiiForums Tanzania Mbunge aangua kilio bungeni kisa yeye kupokea taarifa za msiba akiwa juu ya mti!

    hivi naongea na mwenye mbwa c ongei na mbwa a.k.a katibu mwenezi wng wa watoto bastola(rage) alhaji juma ngamia(kamia) c ndo wa KONDOA KUSIN?
  11. HANDO

    JamiiForums Tanzania Pspf Aptitude test:What to expect?

    niko njian nimeanza safari toka manyara kwenda dar kufanya HIYO PEPAR-finance officer MUNGU SIKILIZA KILIO CHANGU MAANA MWAKA WA 3 napambana na ugumu wa maisha unajua wewe mwenyewe hii NAULI nilivopata.
  12. HANDO

    JamiiForums Tanzania Matirio ya kutengenezea sabuni za maji

    mini najifunza ujasiria mali nataka matirio ya kutengenezea sabuni za maji lakini sijui wapi ntapata matirio ya kutengenezea, nielekezeni wapi ntapata kwa bei nafuu. nimeambiwa yanapatikana DAR au Nairobi lakini sijui wapi ntapata nsaidien wandugu. nipigie sim 0714 592827 au 0763 815 111...
  13. HANDO

    JamiiForums Tanzania I real need your help for employment...

    tatizo ni kwamba no fair ground kwenye ajira nowdays issue is who know you,mwenzio nimemaliza tangia 2011 BCOM NA sasa namalizia CPA(t) nimefanya application 58 NIMEITWA MBILI tu - pride na world vission BT BADO NAPAMBANA na SASA NIMEJIIMARISHA ZAIDI kuchukua UDIWAN KATA YA unga ltd NIMEANZA...
  14. HANDO

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    VIPI WEWE NI Mwl wa shule gani ?maana naona kila cku uko kwenye media ukipiga miayo ?
  15. HANDO

    JamiiForums Tanzania Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

    njaaa ya siasa mbaya sana kila njia unatumia ili mradi upate huruma ya jamii hivi hawa vijana hawana issue zngine za kupatia rizki zaidi ya hii siasa za vijiweni huyo mwapamba c huwa anadai ni mwl by proffesion?au ndo mwl wa CIVICS yuko field?
Back
Top Bottom