Kwenye video kuna daktari alikua akitibu watoto lakini anawaacha na kujiunga na Roma hapa kuna maana kwani bado wagonjwa wapo lakini daktari anaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
All employees in the public and private sectors in Mainland Tanzania are covered and hence employers are required by Law to contribute to the Fund on behalf of their employees.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na mfuko ila mingi muajiri anatoa asilimia kiasi fulani na mwajiri pia anatoa kiasi kingine
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Naam, hii inatokana na curriculum ya chuo husika ila cha msingi ni kwamba kila mhitimu wa sheria kuna core courses anatakiwa awe amesoma bila kujalisha amesoma miaka 3 au 4
Kuna sheria inaitwa The HIV AND AIDS (PREVENTION AND CONTROL) ACT hii ni ya mwaka 2008 na katika kifungu cha 33(2) (a) kinatoa jukumu la mtu mwenye maambukizi kulinda mtu asipate maambukizi kutoka kwake
CERTIFICATE IN LAW
Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English
C: CERTIFICATE IN LAW
Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.