Hamna tofauti saana zaidi ya kuextend some courses na baadhi kuongezwa huku wengine wakoconsolidate hizo courses eg. Badala ya course kufundishwa miaka miwili inadundishwa mmoja but wote lazima wafundishe mandatory courses ambazo huitajika ili kujiunga law school of Tanzania
Naam, hii inatokana na curriculum ya chuo husika ila cha msingi ni kwamba kila mhitimu wa sheria kuna core courses anatakiwa awe amesoma bila kujalisha amesoma miaka 3 au 4
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.