Recent content by Hamza Mohamed

  1. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

    mapungufu yako ni makubwa kuliko binadam yeyote
  2. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Treni mpya(Deluxe) yapata ajali Ruvu mkoani Pwani ikitokea Kigoma

    Kuna Ajari Ya Treni Maeneo ya Ruvu Now. Mabehewa zaid ya Kumi ya Abiria yapo down. Vifo na majeruhi hawajulikan ...source Clouds radio
  3. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    Si vema sana kukejeri imani za watu
  4. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Hakika mazoezi (gym) yanapunguza mwili hasa ukizingatia maelekezo ya mwalimu

    Hakika mazoezi yanapunguza mwili hasa ukizingatia maelekezo ya mwl. Asante sana DODOMA BUNGE GYM. Uzee sasa basi
  5. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Pipi na juisi kutumika Ikulu katika dhifa imekaaje hii?

    Kaole sanaa group
  6. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania TUMIA PESA UPATE PESA

    Hataree mkuu maneno haya hayasikiki tena mtaani
  7. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania TUMIA PESA UPATE PESA

    Huu msemo wa tumia pesa upate pesa umepotea kabisa hapa mtaani kwetu, kwenu je ?.
  8. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Taqwa yaua watu wawili Mbeya

    Hivi punde watu wawili wamepoteza maisha mkoani Mbeya katika ajali ya basi la Taqwa lililokuwa likitokea Nairobi nchini Kenya kueleke DR Congo. Majeruhi wote wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa. Chanzo: ITV
  9. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Naomba msaada kwa anaefaham dawa ya kuacha pombe
  10. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa kwa nyaraka mbalimbali

    Hapa hapa Dar es salaam,Tanzania mkuu
  11. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa kwa nyaraka mbalimbali

    Hapa hapa Dar es salaam,Tanzania mkuu
  12. Hamza Mohamed

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa kwa nyaraka

    TANGAZO TANGAZO TANGAZO Tangazo la kupotelewa na nyaraka zifuatazo; 1. Hati ya kusafiria(passport) jina: Hamza Jumanne Mohamed Nambari: AB566732 Imetolewa: 21 FEB 2013 2. Leseni ya udereva ( driving licence) Jina: Hamza Jumanne Mohamed Nambari: 4000801509 3. Yelow fever card Jina: Hamza...
Back
Top Bottom