Tangazo la kupotelewa kwa nyaraka

Hamza Mohamed

Member
Jan 3, 2013
17
9
TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Tangazo la kupotelewa na nyaraka zifuatazo;

1. Hati ya kusafiria(passport)
jina: Hamza Jumanne Mohamed
Nambari: AB566732
Imetolewa: 21 FEB 2013

2. Leseni ya udereva ( driving licence)
Jina: Hamza Jumanne Mohamed
Nambari: 4000801509

3. Yelow fever card
Jina: Hamza Jumanne Mohamed

4. Memorandum and articles of association.
Jina: FORETRADE COMPANY LIMITED

5.CERTIFICATE OF INCORPORATION
Jina: FORETRADE COMPANY LIMITED
Nambari: 108642

6. TAX Identification Number (TIN CERTIFICATE)
jina: FORETRADE COMPANY LIMITED

7.Accademic certificates ( vyeti vya taaluma)
Jina: Hamza Jumanne Mohamed

8. NMB cheque book (kitabu cha hundi)
Jina: FORETRADECOMPANY LIMITED

9.Birth Certificate (cheti cha kuzaliwa)
Jina: Hamza Jumanne Mohamed

10. Mhuri wa moto na wakawaida. kampuni- FORETRADE COMPANY LIMITED

Vitu vyote hivi vilikuwa ndani ya begi moja jeusi.

Kwa atakaeona au kufanikisha kupatikana kwa vitu hivi au kimoja wapo awasiliane nami kwa nambari :

0784000002/0782771927
WhatsApp 0784 000 002
Email address: hamza.mohamed70@gmail.com

Zawadi nzuri itatolewa / tafadhali saidia kushare na kutuma WhatsApp groups zingine.
 
Aisé pole sana .....natumai nyaraka zako zitapatikana

Ova
 
Ni vema ukasema uko wapi na vitu hivi vimepetea ukiwa wapi katika mazingira gani. Hii itasaidia wale walio jirani na maeneo hayo kuwa attentive zaidi.
 
Ni vema ukasema uko wapi na vitu hivi vimepetea ukiwa wapi katika mazingira gani. Hii itasaidia wale walio jirani na maeneo hayo kuwa attentive zaidi.
Tumeshaanza kuwatumia wadau wengine ili waendelee kutoa taarifa kuhusu nyaraka hizi kupotea,ila ni vyema ukaelezea mkoa,na maeneo hasa mhusika anakumbuka zitakuwa zimepotea nyaraka hizi.
 
Back
Top Bottom