Recent content by hamsinij

  1. H

    JamiiForums Tanzania JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

    Hiko kifaru sio scraps?? Nilikuta barabara ya kisarawe kibaha, Jmosi pia nilipita nikakuta mgogoro. Jwtz wanataka watu wahame eneo la mazoezi. Masalia ya kifaru sijakuta.Ni deraya
  2. H

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ahojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge

    Nadhani ni lugalo, kuna kampuni ya kichina ya transport ndani mle uzio wa mabati
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu makadirio na matumizi Wizara ya Mambo ya Ndani

    HOTUBA YA LEMA HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana mifuko ya Pension kuwekeza kwenye viwanda

    Boma chanika sehemu gani??nicheck
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Nyumba: Je, ninaweza kujenga kanyumba kadogo kazuri kwa bajeti ya Mil. 6!?

    Kanunue container ready made 11mil
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

    Katika uteuzi kuna taratibu, majina matatu yalienda ikulu lake likarudi. Costech ilioza ilihitaji changes watu wakarudishwa ktk kazi zao za awali vyuoni.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Dr. Frannie ateuliwa kuwa Makamu wa Rais AfDB

    Huyu mnafiki aliingiza tz choo cha kike akiwa WB. Refer nelson mandela project arusha
  8. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    2012 fujo za nini???
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wale wenzangu na mimi mnakumbuka?(picha)

    Mwaka gani????
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tanesco yakanusha kuuza 49% ya hisa zake

    Ttc na tbl
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kiini cha matatizo ya Zanzibar, Mapinduzi ya mwaka yaliyomwondoa Sultani

    Mohamed shamte alikuwa sultani??????
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ufutaji uchaguzi Zanzibar, nani nyuma ya pazia?

    Hata kama sio mwanasheria mbona nyingi ya sababu zilizotolewa na ZEC zina uwezo pia wa kuathiri uchaguzi wa wabunge na Rais wa Jamhuri? Ukisema kulikuwa na wapiga kura hewa, nani kathibitisha kuwa hawa walipiga tu kwa Rais wa Zanzibar na Wawakilishi? Mpiga kura hewa si aliingia mara moja...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa umetuangusha Ifakara kwa kushindwa kufanya mkutano

    Kesho majimbo 5, Morongo
Back
Top Bottom