Wale wenzangu na mimi mnakumbuka?(picha)

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,596
4,890
Hebu niambie unakumbuka wapi na ulikuwa wapi?
2bcf1ce1fd85e51ed3038bb1dbaf662f.jpg
 
Maisha bana,kuna kipindi ukivaa DH unaonekana mshamba flani hivi....ila aina hiyo ya viatu ndo cku hizi vimejaa tena....na watu wanavaa kwa sana....nakumbuka mzee aliwahi niletea hivyo viatu wakati nipo shule ya msingi nikagoma kuvivaa maana ningechekwa shule.....!!
 
NILIKUWA KISHUMUNDU SEC. ILIKUWA NI SEHEMU YA VAZI LA SHULE YETU.WAPI JAMES KIWARA.
 
Mi nilovaa sana hyo, nilitaniwa sana. Kipindi ile hata ukivaa viatu vya ngozi lazma utaniwe eti umevaa ngoz ya Mbwa.
Kuna yale mandopu yalikuwa maraba fulani hivi yamepanda juu, leo wanayaita supra.

Swaga za zamani zote zinarudi leo kwa majina tofauti.
 
kuna kipindi nlimtembelea bibi nimevaa chucks taylor converse akanicheka sana et pamoja na kukaa town bado navaa DH haaaaa haaaaa siku muelewa mpk nilipopewa stor ya hii kiatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom