Hakukuwa na haja ya kukanusha kwani shirika hili ni kero sana kwa huduma zake. Wizi mtupu. Eti hata kama hujatumia umeme unalipa wanachoita servce charge au fixed cost kila mwezi zaidi ya 5,500 hapo bado hujawekewa vat, ewura na rea. Hili bora liuzwe tu maana umeme wenyewe ni wa kuunga unga tu hauna uhakika kabisa. Maji yakijaa mabwawani wanasema kumejaa tope. Jua likiwaka wanasema maji yameshuka chini ya kina. Gesi imefika wanasema kuna uchafu... yaani ili mradi visababu vingi vya kuhalalisha uwezo wao mdogo wa kutoa huduma za uhakika. Likibinafsishwa litakuwa na ufanisi kama yalivyo makampuni ya simu au biaTanesco imekanusha taarifa zilizo zagaa kuwa ina mpango wa kuuza 49% za hisa zake.. pia imekanusha waziri.wa nishati kuongea na gazeti na east africa kuhusiana na mpango huo..