Naposikia vijana walifika mahakaman kuungana na ZZK nafurahi. washabiki wengi wa ZZK ni wasomi, watumishi wa sekta mbalimbali na wanataaluma. Kwa hyo si rahsi kufka mahakamani kuzomeana na wapambe wa aina ya Lema, Msigwa au Mbowe. Kama kuna vijana wanaweza kwenda na wanahtaji usafiri ntatoa...
Ni kweli kuwa ZITTO anaonekana anajifanya ni zaidi ya CDM lakini ukweli ni kwamba ZITTO ni mwanasiasa mkubwa, kwa mfumo wa siasa za chadema anakuwa kama kontena kubebwa na vitz. ZITTO anatakiwa awe kwenye chama kikubwa au akibadilishe CDM kiwe kikubwa na viongozi mbumbumbu kama MBOWE, MSIGWA na...
Nilishangazwa na akili ya huyu mwanachadema ambaye alipewa uongozi wa kambi ya upinzan bungen na uenyekti wa cdm. Anaongea kwa hasira kwenye kongamano la vijana eti "..watu tumekoswa risasi na mabomu halafu watu wanataka kuvuruga chama" nilisikitika sana. Justfication ya mabom ndo ground za...
Nipo hapa Kakonko nyumbani kwetu. Nachokiona ni hali isiyokuwa ya kawaida. Waswahili wanasema '..cha mtoto kimezidi cha mama' kwa kiha tunasema '..chu mwana chasumve cha nyina'. Mapokezi ni hafifu. Wakazi wengi wa hapa wamekuwa wakinong'ona mambo ambayo yanakatisha tamaa. Hayafai kusemwa kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.