Tresor Mputu kulipwa 87M kwa mwezi Angola

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
25,145
Reaction score
27,281
Yule mchezaji mahiri wa TP Mazembe ya DRC, Tresor Mputu Mabi, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu ya Kabuscorp ya Angola ambao ni mabingwa wa soka nchini humo. Mkataba huo ulikuwa una thamani ya sh. bilioni 4.3 ambapo Tresor Mputu Mabi atakuwa akilipwa kiasi cha karibu sh. milioni 87 kwa mwezi !!!

NB: Bin Kleb usicheze mbali, mwaka mmoja tu utakapoisha Mputu atakuwa mchezaji huru!
 
kunya kwa tembo
 
Ngasa hataki kusikia mambo km hayo. Anaogopa lugha na kupima afya.
Ndicho nilichojifunza kutoka habari hii.
 
bado sijakuelewa, u-king wa samatta unakujaje? yeye analipwa shilingi ngapi?

Nimeshakujibu kuwa ni kipenz cha katumbi baada ya Mputu,,,halafu mputu ni share na katumbi ktk business zake za madini.
 
Nimelazimika kukuelewa ila U-king unaletwa na malipo, Je Samatta analipwa kiasi gani?
 
sio malipo peke yake!!umaarufu na kukubalika kwa mashabiki,uwezo uwanjani,mahusiano na le big boss MCK,
halafu malipo yanfuata!ndio kinachotokea lubumbashi mkuu!ililfikia mahali Mputu anapaki kwa ku block Chrysler ya dogo ili asiwepo wa kuondoka kabla ya yeye ''king''.....na akamwambia kabisa ''dogo we unakuja vizuri hapa,lakini mi ndio king wa hapa sasa!''.
Now that kaenda zake Kabuscorp(wana hela hawa wana mpaka so vizuri!......walimsajili Rivaldo mwaka juzi i think!),Samatta anabaki kama kinara kwenye maeneo hayo!
 
Aisee sasa nimeelewa vizuri kamanda

Mkuu;
naamini hukuelewa, sema umekubali yaishe.. ila lengo lako ni kujua income/malipo ya Samatta pale Tp Mazembe...
hahahah!
wakuu mnaofahamu, saidieni hilo, na mi ningependa kulifahamu!
 
nani amekupa mamlaka ya kuwa msemaji wangu?

Back
Top Bottom