Natafuta starlet/nissan march kwa four millions.

Natafuta starlet/nissan march kwa four millions.

Hammy Baii

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
29
Reaction score
23
..wadau ambaye anaweza kunipa gari lenye hali nzuri. Sisiwe limechongwa engene wala kupata ajali. Usi P.M mpaka ukubali kama unayo na uweke picha.
 
mkuu mi sio mwenye gari ila nmewiwa kusaidia pia kuna tangazo nlona zoomtz jamaa ana nissan march 1999 AWC kwa mil 4.2mil..km 131000 no zke.. +255 715 859 321 dsm..then kuna wa dodoma nissan march milango 3 bei 3.2mil no zke +255 713 176 622 imetembea km 150000 AZD.
Kuna nyingine ya 2002 nissan march ipo dsm n km 103000 na no zke n +255 789 482 273 n tsh 5mil.
mkuu khs pics ungetembelea zaid kule au ukawachek pia hao jamaa kwa msaada zaid.
kila la kheri
 
samahani naomba kuuliza nissani march uimara wake upo vp maana natamani kununua pia nami
 
Nitafute nikuunganishe na jamaa anauza Starlet mbili 3 doors reg inaanza na T... C... na 5 doors reg inaanza na T..B.. zote ni kama mpya fully insured. Sikushauri kununua Nissan March spea ni ghali.
 
Back
Top Bottom