Recent content by Hamis Zmc

  1. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana. Kituo cha kazi

    Wakuu Simu Ziite 0758388618
  2. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana. Kituo cha kazi

    Nishaona unatumia infinix lazima tu mawazo yako yangekua hayo uliyotoa
  3. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana. Kituo cha kazi

    Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane.
  4. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mikopo HESLB

    Wadau mimi naomba mkopo bodi ya mkopo, nina stashahada, kuna sehem ya ku apload cheti cha diploma, napenda kuuliza cheti hiki kinakua original au copy ambayo ni certified?! Nawapigia bodi ya mikopo hawapokei sim wiki tatu sasa
  5. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu solar

    Nlikua na sunder watt 100 zipo vizuri betri nlkua na chloride solar betry
  6. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu solar

    Actually solar ilikua haipeleki moto vizuri hivo betri ilikua haijai, nilipata fundi akarekebisha and things went well, skupata usumbufu wowote
  7. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza soma diploma ya Nursing na degree ukasoma kozi tofuati na Nursing?

    Zipo kibao mkuu, unaeza soma Human resource pale institute of social work Dar, Molecular biology and biotechnology, microbiology,
  8. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya Molecular biology and biotechnology course

    Ukimaliza unafanya kazi sehem gani?
  9. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya Molecular biology and biotechnology course

    0758388618 sorry kama utaridhia tuchekiane hapa!
  10. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya Molecular biology and biotechnology course

    Nielezee kuhusu hiyo course kama unaifaham vzr
  11. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya Molecular biology and biotechnology course

    Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu course ya Molecular biology and biotechnology, kazi gani utafanya baada ya kusoma? Uwezekano wa kujiajiri na unajiajiri vipi? Uwezekano wa kuajiriwa ukoje.
  12. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana Kituo Cha kazi

    Sidhn kama unfortunately tafasiri yake nibahat mbaya tu, nachojua pia ni kutotegemea kitu fln kutokea, sasa haijalish kitatokea kwa ubaya au kwa uzuri. Lugha sio yetu, karbu
  13. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana Kituo Cha kazi

    Sawa boss
  14. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana Kituo Cha kazi

    🚮🚮🚮🚮
  15. Hamis Zmc

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa juu ya AIM GLOBAL

    Kama hela za COVID
Back
Top Bottom