Naomba ufafanuzi juu ya Molecular biology and biotechnology course

HamisZmc

New Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
3
Reaction score
4
Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu course ya Molecular biology and biotechnology, kazi gani utafanya baada ya kusoma? Uwezekano wa kujiajiri na unajiajiri vipi?

Uwezekano wa kuajiriwa ukoje
 
Uwezekano wa kuajiriwa ukoje.
 
Molecular biology ni sayansi inayoshughulika na Viumbe hai katika level ya Ndani sana (Molecular level) kwahiyo kule utahangaika na mambo ya DNA, RNA na Chromosome.
Biotechnology inhusiana na mambo ya Teknolojia kwenye Viumbe hai! Kwa mfano Jinsi ya kupata Genetic modified Organisms kama hawa Broiler na wengineo.
Kama hujaelewa naomba uulize tena
 
Hizo ndugu kujiajiri inahitaji Mitaji Mikubwa sana
 
Molecular biology ni sayansi inayoshughulika na Viumbe hai katika level ya Ndani sana (Molecular level) kwahiyo kule utahangaika na mambo ya DNA, RNA na Chromosome.
Biotechnology inhusiana na mambo ya Teknolojia kwenye Viumbe hai! Kwa mfano Jinsi ya kupata Genetic modified Organisms kama hawa Broiler na wengineo.
Kama hujaelewa naomba uulize tena
0758388618 sorry kama utaridhia tuchekiane hapa!
 
Molecular biology ni sayansi inayoshughulika na Viumbe hai katika level ya Ndani sana (Molecular level) kwahiyo kule utahangaika na mambo ya DNA, RNA na Chromosome.
Biotechnology inhusiana na mambo ya Teknolojia kwenye Viumbe hai! Kwa mfano Jinsi ya kupata Genetic modified Organisms kama hawa Broiler na wengineo.
Kama hujaelewa naomba uulize tena
Ukimaliza unafanya kazi sehem gani?
 
Ukimaliza unafanya kazi sehem gani?

Unafanya kazi gani tena ?? Kwenye maabara ya Taifa kama utapata shavu au Taasis zinazojishirikisha na tafiti au Vyuoni kama utamaliza na GPA nzuri.
 
Nielezee kuhusu hiyo course kama unaifaham vzr

Hujaelewa nini hasa hapo ??

Kuhusu ajira kuna rafiki yangu kamaliza chuo muda sana hajaajiliwa hadi leo na kuna wengine wanaajiriwa mapema so itategemea na Bahati yako.
 
Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu course ya Molecular biology and biotechnology, kazi gani utafanya baada ya kusoma? Uwezekano wa kujiajiri na unajiajiri vipi?

Uwezekano wa kuajiriwa ukoje
Jitoe sana ukasome kwa bidii kuu, huo mziki sio wa kitoto kabisa. Kuna mdau hapo juu ameelezea vzr, kazi zake sio nyingi sana ila zipo na hata wahitimu wa hiyo kozi bado sio wengi sana.
 
Back
Top Bottom