Kubadilishana Kituo Cha kazi

Kubadilishana Kituo Cha kazi

Hamis Zmc

Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
48
Reaction score
27
Mimi Ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
 
Mimi Ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
Kwa nini unataka kuondoka Mara mkuu?
 
Naitaji kua karibu na specialized hospital, lakin pia nafatilia evening studies hivo kwa huku inakua changamoto
 
Okay ila nakushauri utume pia kwenye magroup ya watu wa Afya watsap
 
Mimi Ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
Mtu atoke dar aende tarime ni sawa na kubadilishana starlet na V8
 
Yani unataka mtu wa kuja MARA
🥶🥶🥶😰😰😰😰😰😨😨😨😨😨😨😨😨
 
Kanda maalum tarime,lolya uko apana muraa ningekuja
 
Mimi Ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
Hivi kweli mtu anaweza kukubali kuhama Dar au Dodoma na kwenda Tarime kweli???.
 
Why not mkuu, unfortunatelly nishapata mtu siku nyingi
What does unfortunately means?? wewe umefanikiwa kupata mtu sasa inakuwaje bahati mbaya??? tumieni kiswahili ndugu kiingereza lugha ya kuja na meli ina kanuni zake
 
Sidhn kama unfortunately tafasiri yake nibahat mbaya tu, nachojua pia ni kutotegemea kitu fln kutokea, sasa haijalish kitatokea kwa ubaya au kwa uzuri.
Lugha sio yetu, karbu
 
Back
Top Bottom