Mwenye kuelewa juu ya AIM GLOBAL

Mwenye kuelewa juu ya AIM GLOBAL

IMG_8057.JPG
 
Naona wamewaanza first year ili wawakamue boom! Utalia, Uta Sup, mwisho usipokaa sawa uta disco sababu ya stress za Pyramid Scheme zisizo na tija. Kimbia mbali sana na hao watu.
Nop ni kitu jipya kwangu kuna Mdau ukanambia nikaona heb niiweke hapa nipate ABC, kumbe ningeishia kumeza antidepressants
 
Back
Top Bottom