Recent content by Hamis Miley

  1. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Jana nimeng'atwa na nyoka mguuni!

    Kunywa mkojo? ni mkojo wa nani hasa? wa mtu binafsi aliyegongwa au mkojo wa mtu yoyote (mkeo) au (mtoto)??? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya Atlas primary school Madale

    Tunaomba picha tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Jitahidi usizoee jambo hili utaabika. Nimejilaumu sana

    Duuuh! watoto wa kishua kazi mnayo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mpenzi wako hakijui kuhusu wewe?

    Aisee ni kupiga punyeto yeye akiwa amelala usiku, "CHAPUTA CHAMA KUBWA" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Diamond, kumbe "Baba Lao" ni ya Naira Manley

    ulikuwa haujui?
  6. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Salamu za kupeana mikono ni hatari kwa afya yako
  7. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio "grim reaper" mkusanya roho za watu

    Imeandikwa HAMIS MILEY :[emoji121][emoji115]GRIM REAPER [emoji117]Hujulikana kama lord of death au mkusanya roho(soul) za watu pale punde mda wao wa kuishi dunia unapofikia kikomo. Huyu amekuwa marufu sana kwa karne ya 20 mwishoni na hivi sasa karne ya 21 ambapo anawakilisha kifo ambapo...
  8. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hii ndio movie "filamu" inayotisha zaidi duniani

    movie za hatar sana hasa ile ya 2016
  9. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hii ndio movie "filamu" inayotisha zaidi duniani

    hatari hii movie
  10. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hii ndio movie "filamu" inayotisha zaidi duniani

    zipo nyingi ila hii ni kiboko
  11. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hii ndio movie "filamu" inayotisha zaidi duniani

    nishaiona hii
  12. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hii ndio movie "filamu" inayotisha zaidi duniani

    hatare sanaaaa
  13. Hamis Miley

    JamiiForums Tanzania Hii ndio movie "filamu" inayotisha zaidi duniani

    Movie hii inaitwa "Cannibal Holocaust" Itafute Ni movie yenye kutisha mno na matukio yake yakiwa kama yana ukweli ndani yake. Baada ya movie hii kutoka Director wa movie hii alikamatwa na kushtakiwa akidaiwa alisababisha mauaji ya waigizaji wa humo ndani (walijua watu walikuwa wanakufa kweli)...
Back
Top Bottom