Hali mbaya Atlas primary school Madale

Hali mbaya Atlas primary school Madale

Kila kizuri hakikosi kasoro. Atlas ki academic Ni nzuri ila matatizo yake ndiyo hayo. Nadhani Hilo la ngazi na maji walitafutie ufumbuzi mapema.
Tatiso Rugambwa ana Madeni mengi halafu Sehemu kubwa kaajili ndugu zake wanamPIGA sana
 
Tatiso Rugambwa ana Madeni mengi halafu Sehemu kubwa kaajili ndugu zake wanamPIGA sana
Ndo ujinga wakuajiri kindungu kwanza hawajitumi na hawaogopi kufukuzwa na utendaji lazima uwe chini
 
hivi mtoto wa primary boarding anaenda fanya nini?

bond na wazazi wake anaijenga saa ngapi?

hamjifunzi IST wazungu wanasomesha day watoto wao.

Mie hilo suala limenigharimu hadi leo
 
Watoto wanalalamika kukosa bwalo la kula chakula. Japo siku zisizo na mvua hupanga foleni sehemu mbali mbali za shule na kugawiwa chakula kikiwa wazi, hali ni mbaya wakati wa mvua watoto zaidi ya elfu tatu wanahaha kupata chakula hasa mchana huku wakinyeshewa mvua. Inasikitisha zaidi kwa wale wa chekechea.
Maji nayo ni tatizo sugu mabweni ya juu ghorofani. Mtoto hulazimika kubeba ndoo ya lita kumi mara tatu au zaidi na kupandisha nayo katika ngazi hadi ghorofa ya nne. Haya ni mateso. Inakuwaje mtoto akiwa anaharisha usiku.
 
Mtoto wa chekechea unampeleka boarding school huo si ukichaa, mnaenda kutuzakishia mashoga na wasagaji tu
 
Imenibidi nieleze humu hali mbaya iliyopo Atlas Primary School Madale Dar es Salaam.

1. Mabweni ya wanafunzi hayaisha kujengwa japo watoto wanalala na kuishi humo. Mabweni ni ghorofa lakini hayana milango mashariki na magharibi mwisho mean mabweni hali inayohatarisha maisha ya watoto has a wanao kaa ghorofa ya nne na tatu. Kati ya ma bweni ya wavulana na wasichana Kuna ngazi hazina vizuizi hii ni hatari.

2.Watoto hulazimika kuchota maji chini tanki la nje hadi juu ghorofa ya pili. tatu a nne mara tatu au zaidi kwa siku kwa kuwa hakuna matanki ya juu. Hali hii inawatesa watoto. Maji salama inawabidi kuogea geli badala ya sabuni.

3,Mfumo wa maji taka si mzuri mafuriko hadi karibu ya jengo la utawala hatari kwa afya.

4.Chumba kimoja cha darasa wanafunzi mia hadi mia na hamsini.

Taasisi husika zifuatilie na kutatua matatizo haya tusije juta baadae.
Mkuu ada zao huwa ni shilingi Ngapi KWA mwaka hapo atlas?
 
Back
Top Bottom