Huyu ndio "grim reaper" mkusanya roho za watu

Hamis Miley

Member
Oct 8, 2019
14
16
Imeandikwa HAMIS MILEY :GRIM REAPER

Hujulikana kama lord of death au mkusanya roho(soul) za watu pale punde mda wao wa kuishi dunia unapofikia kikomo. Huyu amekuwa marufu sana kwa karne ya 20 mwishoni na hivi sasa karne ya 21 ambapo anawakilisha kifo ambapo miongoni mwa watu hutumia picha yake kama alama ya kifo ambapo katika historia ya kale yani Anciety time katika historia ya ugiriki miaka 1800 iliyo pita unambiwa palikuwa na mtu ambae alikuwa akifanya kazi katika kukatisha uwai kwa wale watu ambao walikuwa wanahitaji kufa ..mfano kwa wale wagonjwa ambao walikuwa wanaugua kwa mda mrefu bila matumaini ya kupona na endapo uyo mgonjwa ataridhia kufa bas alikuwa akiitwa huyo mtu kwajili ya kumuuwa uyo mgonjwa..pia ata kwa wale walio kata tamaa ya maisha na kutaman kufa basi alikuwa akiitwa uyo mtu.

Sasa bada ya kufa uyo mtu katika greek mythology wakaja kumbatiza yule mtu kama "the greek god of death" yan mungu wa kifo wa ugiriki ambapo walikuwa wakiamini huko alipo yan kuzimu alikuwa anaendelea na kazi yake ya kukatisha watu maisha ambapo wali amin kuwa kila mtu anae kufa, yeye ndio muhusika..na kuna mgonjwa katika hiyo historia inasemekana aliumwa kiasi kwamba cha kutaka kufa sasa kunasiku akiwa na ndugu zake alikuwa amezidiwa alionekana akiongea na kusema " niache niache nataka kuishi" na kwa bahat nzuri akapona ndipo alipo wasimulia watu kuwa alimwona LORD OF death akija kuchukua roho yake akiwa amevaa koti jeusi ,mwili wake ukiwa ni mifupa ,huku akiwa ameshika mti mrefu wenye mundu/panga kwa juu.

Toka hapo wakawa wana amin uyo lord of death yupo kweli sasa baada ya miaka mingi kupita uyu alisahaurika mpaka kuanzia karne ya 16 kipind cha mideva era wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa plague/tauni huko ulaya..ndipo huko ujerumani walipo ibua tena jina hilo na kulibadilisha na kumwita GRIM RIPER ambapo koti jeusi likimanisha giza, mifupa ikimanisha kuzimu,na fimbo yenye mundu alio ibeba ikimanisha ndio anayo itumia wakati wa kuutenganisha mwili na roho. Kitu ambacho kilikuwa kinawafanya watu waogope hususan endapo wata mwota ndotoni.

Hujulikana kama ni jitu linalo ogopesha sana na hii picha imekuwa marufu sana saizi dunian inatumika kama ishara ya kifo MWISHO?
bd3a25044545535b049b727351d34c00.jpeg
 
Dah natamani sana zali lakutokewa na hiloDubwasha la dark ages yani nitalishushia kibano cha haja na vitasa vya kutosha.

Tatizo sasa mazali kama haya kamwe hayanitokei yanawotokea wengine tu yani inaniuma kichizi there's nothing i can do is to wait may one day
 
Kama mifupa ni ishara ya kuzimu, hahusiki na wanaoenda mbinguni?
 
Back
Top Bottom