Recent content by hameed

  1. H

    JamiiForums Tanzania Walionyongwa China, Damu zao mikononi mwa Kikwete

    Hio shida sasa watu kwa chuki noooma wewe uende ukabebe unga uangamize watu wengi kwa faida yako then eti umalaumu Kikwete huu ni ujinga ulopitiliza
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwani lazima polisi wajue ninakotoka?

    Hao hawana lolote wanatengeneza nazingira tu
  3. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Sasa mm kosa lng nn mpaka nujitukane mwenyewe namm naongelea mapadri nasio ukiristo sizani kam ugalatia unafundisha ychafuu huu wanafanya mapadri
  4. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Source BBC
  5. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Tuacheni jazba wadau mambo ya sala 5 yametoka wpi.tujadili tuwekane sawa
  6. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    When hii ripoti wametia UN nasio taasisi zadini may b utasema dini zinapakaziana
  7. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Sasa hii ni ripoti ya wazungu sio hizi zetu zakuzusha mitaa zawanogezwa nyuma
  8. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Yale maji yani shahawa zikizidi ndani ya mwili binadam unakua kam mnyama naunakua chizi.mm sizani kam inafaa kuwalaumu ila.marekebisho yafanyike nawao waoe wake ata zaidi mmoja uone kam shida hizi zitatokea.
  9. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Mmmh naskia mapadri hawaruhusiwi kuoa sasa ww unazani mwanaume alokamilika anakula.vzurh analala vzury shida zake atamalizia wpi mm naona marekebisho yangefanywa hawa jamaa waoe
  10. H

    JamiiForums Tanzania UN condemns Vatican child abuse cover up

    Umoja wa mataifa umetuhumu makao makuu ya kanisa katoliki Vatican kwa kuuidhinisha na kutumia sera zilowezesha mapadre kubaka nakuwalawiti maelfu ya watoto. Kamati ya umoja wa mataifa ya haki za watoto imesema kanisa hilo linapaswa kuondoa wote wanaokiuka haki za watoto kutoka nafasi za...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wimbi l WACHUNGAJI KUBAKA laendelea, Mchungaji afungwa kwa kubaka

    Kheee kondoo nao wakuenda wajistiri vizury wasiwape mitihani wachungaji..
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mchungaji adaiwa kumnajisi mjukuu

    Polisi wamemkamata mchungaji wamiaka 53 kwa madai ya kumdhuru kimapenzi mjukuu wake ambae ni msichana wamiaka 12 katika kijiji cha Lwala, Kaunti ya Siaya,William Amondi Odinga ambae huhubiri katika Kanisa la New Apostolic alikamatwa baada malalamiko kutoka kwa wananchi,Kiongozi wa wazee katika...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Shehe Hassan Illunga Kapungu amepinduliwa katika Utawala wake!!!!!!

    Dah kweli serikali kono lake refu nimeikubali hii
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

    Tunaomba pic wapinzani wetu waumbuke
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    Tuacheni unafiki chama kimetetereka sn huyo zito anaoneka msaliti ndo kakifikisha kua kikuu cha upinzani nchini maamuzi yajazba ndo yamekifikisha hpa sasa tungoje kua kam vyama vilivoanguka navilikua maarufu zaidi chsdema
Back
Top Bottom