Mchungaji adaiwa kumnajisi mjukuu

Mchungaji adaiwa kumnajisi mjukuu

Status
Not open for further replies.

hameed

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
35
Reaction score
7
Polisi wamemkamata mchungaji wamiaka 53 kwa madai ya kumdhuru kimapenzi mjukuu wake ambae ni msichana wamiaka 12 katika kijiji cha Lwala, Kaunti ya Siaya,William Amondi Odinga ambae huhubiri katika Kanisa la New Apostolic alikamatwa baada malalamiko kutoka kwa wananchi,Kiongozi wa wazee katika eneo hilo Paul Otemo alisema kua mchungaji huyo amekua akimwonta mwathirika kuhusu matokeo ambayo angekumbana nayo ikiwa angethubutu kuripoti hivyo kwa polisi(NMG)
 
Hii dini ya hawa jamaa ni ya ajabu sana, yaani kugegedana wameona iiishuuu!
 
Atakuwa na mapepo huyo mchungaji, atafutwe mchungaji wa kulikemea pepo baya hilo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom