Shehe Hassan Illunga Kapungu amepinduliwa katika Utawala wake!!!!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Taarifa kutoka Mwanza zinaonyesha kuwa Shehe Hassani Illunga Kampunga amepinduliwa katika Vikao vilivyofanyika Mwezi wa Kumi mwaka huu wakati yeye yupo katika matibabu India.

Waliofanya mapinduzi hayo ni Kamati kuu ya taasisi ya Thakibu ambayo alikuwa anaiongoza huku sababu ya mapinduzi hayo ikiwa ni ubabe na ubadhirifu wa mali za taasisis.
Baada ya kurejea nchini mwanzoni mwa Nov 2013, Shehe Illunga aliitwa na kusomewa mashitaka hayo na kupinduliwa.
Tarehe 24/11/2013 Shehe Illunga alikwenda kuwahutubia waumini kwa maana ya kuwaaga jambo lililopingwa na waliomtoa lakini akalkazimisha na alifanya hivyo kwa kuwaponda waliompindua huku akisema kuwa wanatumiwa.
Baada ya kumaliza hotuba hiyo aliruhusui maswali lakini zilitokea vurugu kubwa na watu kupigana.

Katika kuhitimisha hotuba yake Illunga alisema kuwa anajitoa Thakibu lakini atabaki kuwa menaja wa miradi na kamwe hataacha harakati.

NB:
Kupinduliwa kwa Illunga kumekuja sikuchache baada ya Shehe Ally Basalehe wa Msikiti wa Idrisa kupinduliwa septemba mwaka huu ,akiwa hija baada ya kupelekwa Hija na serikali.
Ikumbukwe kuwa Illunga naye amepinduliwa wakati amepelekwa India na serikali kutibiwa!
Hoja kubwa ni kwamba Serikali kupitia Jeshi la Polisi walikuwa wanamtafuta Shehe Iliunga kwa Kuchochea UDINI lakini cha kushangaza Mkono wa pili wa serikali hiyohiyo ulimpeleka India kwa Matibabu na amerejea huku Polisi wakiwa Kimya.

Kufuatia uchochezi wa Illunga makanisa yamechomwa moto na wameuawa viongozi wa dini ya Kikiristo na IGP ameongezewa mda!
 
Aquous

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
288
225
hayakuhusu mleta mada unatuletea udini hapa,wacha watu watafute pesa ww siyo umbea hapa.umenikera kweli
 
maleka

Senior Member
May 23, 2013
143
195
Taarifa kutoka Mwanza zinaonyesha kuwa Shehe Hassani Illunga Kampunga amepinduliwa katika Vikao vilivyofanyika Mwezi wa Kumi mwaka huu wakati yeye yupo katika matibabu India.

Waliofanya mapinduzi hayo ni Kamati kuu ya taasisi ya Thakibu ambayo alikuwa anaiongoza huku sababu ya mapinduzi hayo ikiwa ni ubabe na ubadhirifu wa mali za taasisis.
Baada ya kurejea nchini mwanzoni mwa Nov 2013, Shehe Illunga aliitwa na kusomewa mashitaka hayo na kupinduliwa.
Tarehe 24/11/2013 Shehe Illunga alikwenda kuwahutubia waumini kwa maana ya kuwaaga jambo lililopingwa na waliomtoa lakini akalkazimisha na alifanya hivyo kwa kuwaponda waliompindua huku akisema kuwa wanatumiwa.
Baada ya kumaliza hotuba hiyo aliruhusui maswali lakini zilitokea vurugu kubwa na watu kupigana.

Katika kuhitimisha hotuba yake Illunga alisema kuwa anajitoa Thakibu lakini atabaki kuwa menaja wa miradi na kamwe hataacha harakati.

NB:
Kupinduliwa kwa Illunga kumekuja sikuchache baada ya Shehe Ally Basalehe wa Msikiti wa Idrisa kupinduliwa septemba mwaka huu ,akiwa hija baada ya kupelekwa Hija na serikali.
Ikumbukwe kuwa Illunga naye amepinduliwa wakati amepelekwa India na serikali kutibiwa!
Hoja kubwa ni kwamba Serikali kupitia Jeshi la Polisi walikuwa wanamtafuta Shehe Iliunga kwa Kuchochea UDINI lakini cha kushangaza Mkono wa pili wa serikali hiyohiyo ulimpeleka India kwa Matibabu na amerejea huku Polisi wakiwa Kimya.

Kufuatia uchochezi wa Illunga makanisa yamechomwa moto na wameuawa viongozi wa dini ya Kikiristo na IGP ameongezewa mda!

wewe uliyeleta mada hii bila shaka c mtu mzuri,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,km mwislam basi tumia hekma ktk mambo yko km uislam unavyofundisha,,km kafiri ckulaumu ni kawaida yenu
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,217
2,000
kafukuzwa au kapinduliwa?.
Mtu kafukuzwa anasema kapinduliwa. Halafu hii habari inakera sana. Wengi tulidhani huyo gaidi kawa mkimbizi kumbe yuko nchini analindwa na dola baada ya kumpatia matibabu. Ilunga anatakiwa kuwa jela kama sheikh ponda. Kanda zake za uchochezi wa kidini na kukashifu imani za wengine zinaendelea kusambaza sumu katika jamii na ni ushahidi wa kutosha kumfunga jela. Serikali sikivu ya ccm inasubiri nini zaidi au mpaka yatokee ya westgate.
 
Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,450
2,000
Wakuu, nashangazwa na baadhi yetu kumshambulia mleta habari. Mnasahau JF ndipo chemichemi ya habari? Kosa gani amelifanya; kuleta habari ni kosa?

Kumbukeni kuwa Mjumbe hauwawi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom