Recent content by HALIMA rajabu

  1. H

    Wenzetu wanavyomsifia Magufuli: Here comes The Bulldozer

    Is he a vampire for that matter?
  2. H

    Mapungufu na Maovu ya serikali ya awamu ya 5 yataonekana baada ya kuondoka madarakani!

    Hakuna mkamilifu duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Mapungufu na Maovu ya serikali ya awamu ya 5 yataonekana baada ya kuondoka madarakani!

    Siyo kweli asiye mapungufu ni Mwenyezi Mungu pekee. Kama umeumbwa na kufa umekamilika vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    SIMBA DAY 08/08/2017: Simba SC 1-0 Rayon sports Uwanja wa Taifa

    Nadhani ni kosa la uandikaji tu lakini alitaka kuandika,"SIMBA." Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    KIBITI: Askari mgambo auawa kwa kupigwa risasi

    Usimtathmini mtu kirahisi hivyo. Bill Gates alishindwa chuoni lakini baadae akawa mtu maarufu hadi leo kwa kuvumbua microsoft technology. When one door closes another one opens.
  6. H

    Mbao wadai mwamuzi aliwanyonga

    Mbona hamzungumzii clear off side ya goli la kusawazisha la mbao?
  7. H

    TBC wakiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri

    Hivi tone la damu baharini hubadilisha rangi ya maji ya bahari?
  8. H

    TBC wakiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri

    Mbona watanzania tunajidharaulisha kiasi hiki? Hivi Trump anakupa nini wewe and for that matter as an african? Angalia maisha yako ili usiwe kwenye kundi la wana simple mind.
  9. H

    Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

    Please mind your Company of english. May be you wanted to write thus, IT MIGHT BE A SERIOUS CONNECTION OF DRUG ABUSE.
  10. H

    Naisubiri kauli ya Rais Magufuli kuhusu mafuriko Dar es Salaam

    Hivi watanzania ni watu wa aina gani? Raisi aseme nini wakati tahadhari inatolewa miaka nenda rudi lakini tunajifanya tunajua kumbe tunapigwa na jua. TMA ilikwishatoa ilani kuwa mvua fupi lakini mbaya sana zinatarajiwa kuanzia sasa hadi May?
  11. H

    Mafuriko Dar: Watu kadhaa wamekwama kwenye maji Jangwani, wengine wapoteza maisha

    Mbezi mwisho mvua ilikuwa kubwa sana na bado dalili za kuendelea kunyesha zipo.
  12. H

    Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ahudhuria Ibada KKKT Kimara; hataruhusu Dar kuwa lango la Madawa

    Wewe naona huna uelewa wa kilimwengu kabisa. Kulikuwa Mkatoliki wa kutupwa kama hayati baba wa Taifa Mwl. Never hapa kwetu? Huyu aliombewa sana na mashaikh mbali mbali wa Kiislamu labda ulikuwa hujazaliwa! Tafiti kwanza kabla hujajimwaga.
  13. H

    Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ahudhuria Ibada KKKT Kimara; hataruhusu Dar kuwa lango la Madawa

    Wacha unafiki ndugu yangu. Ni lini Makonda aliswali msikitini? Kuswali kanisani au msikitini kuna sheria zake. Nyumba za ibada si kama baa za pombe. Mkristo kama Mkristo hawezi Kuswali msikitini hivyo hivyo kwa Muislamu Kuswali kanisani.
  14. H

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Nipigie simu kwa namba hii: Dr. Saidi Lasso 0688 441 144 / 0752-712 550.
  15. H

    Video: Trump aogopa swali, amlazimisha mwandishi kukaa,agomewa!

    Whether or not you're a citizen it doesn't matter go away. Is this type of democracy short sighted guys tout about and on behalf of the nation of snakes, Amaruca? Shame on you.
Back
Top Bottom