Recent content by Haliali

  1. Haliali

    JamiiForums Tanzania Wizara ya fedha naomba ufafanuzi wa PAYE (kodi), mbona haijashuka mpaka leo?

    Waziri wa fedha na mipango July 2016 alilitangazia bunge na wananchi kuwa PYE itapungua kutoka asilimia 11 hadi asilimia tisa. Waajiriwa tulifurahia sana na bunge kwa kauli moja waliipitisha budget hiyo. Leo ni mwisho wa mwezi wa januari 2017 yaani miezi sita imeshapita na hatujaona hayo...
  2. Haliali

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

    Kweli
  3. Haliali

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

    Nachanganyikiwa sielewi vile
  4. Haliali

    JamiiForums Tanzania Waalimu wahamia kuendesha bodaboda na kupiga picha mitaani

    Hahahaha, dah pole yenu walimu.
  5. Haliali

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Benki nyingi zinaweza kupata hasara na nyingine kufilisika

    Katika bank ambazo sina wasiwasi nazo ni CRDB
  6. Haliali

    JamiiForums Tanzania Miezi minne sasa Jeshi la Uhamiaji, halijatoa Mshahara wala Posho kwa Askari wake

    Uhakiki wa wafanyakazi hewa unaendelea, wawe na subira tu.
  7. Haliali

    JamiiForums Tanzania Bei elekezi ya sukari imeota mbawa?

    Bunge la awamu hii limekuwa la watu wanao jipenda wenyewe na kutusahau tulio wachagua. Ee Mungu ibariki Tanzania
  8. Haliali

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Watumishi hewa wamefikia 10,295. Ashusha kiwango cha kodi katika mishahara

    Nikiangalia mmchanganua wa mwaka uliopita, siku zote hili jambo linawahusu wale wanaopata mshahara chini ya 360,000/ hawa wengine nidanganya toto tu. ukiangalia salary slip unaweza pata ugonjwa wa moyo. nibora salary slip wabakigi nazo tu, nisheeeda
  9. Haliali

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    huyu anahusila vipi hapa?
  10. Haliali

    JamiiForums Tanzania Kwa kutaja mshahara wa rais,TZ yenye neema inakaribia

    Napita tu. Ni tajibu swali baadae, ngoja niende kanisani kwanza nikamuombee rais wetu
  11. Haliali

    JamiiForums Tanzania CUF hakushiriki sasa makelele ya nini

    hahahahaha, najua hiyo nijanja ya CCM, mmeibigia kura CUF nyie wenyewe ili mtafute uhalali. hiyo ni danganya toto, na maigizo ya bongo moves.
  12. Haliali

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Manispaa ya Arusha yanayotakiwa kuigwa na mikoa mingine

    wanapatikana kwa wingi arusha. wachaga mnawasingizia tu
  13. Haliali

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Manispaa ya Arusha yanayotakiwa kuigwa na mikoa mingine

    wachaga kwao ni moshi bana.
  14. Haliali

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Manispaa ya Arusha yanayotakiwa kuigwa na mikoa mingine

    Wamaasai na waarusha
  15. Haliali

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya bandari haitamuacha Jakaya Kikwete

    Nasubiri maoni ya Bro Ritz
Back
Top Bottom