OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,674
- 120,349
Sio maneno yangu ni maneno ya mhariri wa Gazeti Nipashe.Anasema kwa Magufuli kutaja mshahara wake Tanzania yenye neema imekaribia.Naomba kusaidiwa kuhusishanisha mambo haya mawili
Wewe mwenyewe unatakiwa kwanza ujisaidie namna ya kuunda swali ili unayemuuliza akuelewe vizuri!Sio maneno yangu ni maneno ya mhariri wa Gazeti Nipashe.Anasema kwa Magufuli kutaja mshahara wake Tanzania yenye neema imekaribia.Naomba kusaidiwa kuhusishanisha mambo haya mawili
Wabongo bwana,kila jambo mnataka misaada. Sasa napo hapa unataka msaada upi wa mcc waje wakusaidie kwa hili pia? Endeleeni kudumaa kiakili kwa kutegemea misaada kwa kila jambo kwani kuna siku mtaomba misaada kwenye ndoa zenu kwa kuwataka wazungu wazae na wake/waume zenu. Nasema hivi kwa kuwa ulicho post hapa ni kama title tu ya mhariri wa gazeti la Nipashe lakini amefafanua vizuri sana kwa uandishi wake,vinginevyo kama una lengo lingine. Ushauri,nunua kwanza gazeti usome na ulielewe then utajitathmini mwenyewe kama post yako ilistahili kuwekwa hapa.Sio maneno yangu ni maneno ya mhariri wa Gazeti Nipashe.Anasema kwa Magufuli kutaja mshahara wake Tanzania yenye neema imekaribia.Naomba kusaidiwa kuhusishanisha mambo haya mawili