top kibobo
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 203
- 107
Yapata miezi mine (04) sasa tangu Askari wapya wa Jeshi la Uhamiaji wahitimumafunzo yao katika chuo cha Polisi Moshi (CCP) na kupata ajira hyo tarehe 24/06/2016.
Lakini cha ajabu hawajapokea malipo yoyote yale ya Posho na Mshahara kwa muda huo wote wa miezi minne, mbaya zaidi wameambiwa atakayesumbua atapewa likizo na kamishna wa fedha aende kwao mpaka atakapolipwa ndo arudi kazin.
WANAJAMII TUNAWASAIDIAJE VIJANA HAWA WAMEKUWA OMBAOMBA XAXA.