CUF hakushiriki sasa makelele ya nini

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,745
Nawashangaa sana wale wanaoacha kazi zao na kuzungumza ya Cuf au maalim Seif.
Cuf walipiga mnada kuwa hawatashiriki ,,wale wanaojitoa akili ni bbora wakawatafuta walioipigia kura CUF ambao watakuwa ni katika wao,

Msitoke mapovu ya midomo na kuchuruzika makamasi kwa kuishirikisha CUF ila kama mnaishirikisha kijecha hatutawashangaa ni katika walewale apa pangu pakavu tia mchuzi.
Nawatakia kila la shari na ng ombe alietiwa ujamu.
 
hahahahaha, najua hiyo nijanja ya CCM, mmeibigia kura CUF nyie wenyewe ili mtafute uhalali. hiyo ni danganya toto, na maigizo ya bongo moves.
 
Back
Top Bottom