Recent content by Halfcaste

  1. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Mbunge atakayeingia Kamati ya kuichunguza TISS atakuwa amejiteka mwenyewe

    usalama wa kumteka Roma unahitaji shule
  2. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Gado on Magufuli - A Bull in a China shop?

    Mh is destructing everything, cartoon talks much
  3. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Hakuna msukuma anayeitwa Diallo, eti Dr. Diallo ?! Mwizi wa vyeti kama Daudi Bashite
  4. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Diallo siyo jina la Wasukuma ni West Africans, Diallo Mwizi wa vyeti.
  5. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawana sifa za Kuongoza nchi. (comparison analysis)

    orijino certificate
  6. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nitajiuzulu endapo itabainika nina mahusiano ya kimapenzi na Wema

    Nape is a ripen politician as well as humanitarian
  7. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Katika shule bora 100, shule za seriakli ni 7 tu

    Unamkata mfanyakazi 15% ya mkopo huku akiwa na mshahara wa Ths. 350,000.00 baada ya mikopo benki anabaki na Tshs. 200,000.00 .Unatarajia akufundishie Watanzania walalahoi ,mmmmmh serikali itasubiri sana.
  8. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana minyoo ambayo haiponi tusaidie

    Ndugu yangu ana minyoo ya Trichiura (Roundworms), anawashwa mkunduni anajikuna sana. Amepoteza weight. Ametumia kila aina ya dawa zisizokuwa na idadi kutoka kila nchi no relief. Madaktari wa Tanzania hawana msaada kwake. Ni zaidi ya mwaka sasa .Za mitishamba ndo kabisaa. Je, afanyeje msaada...
  9. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania HESLB kukata 15% ktk Mishahara ya wanufaika: Sheria haiwezi kutumika retrospectively

    Aisee Mwalimu Nyerere anawaona
  10. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Thank you
  11. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Biinzi ni makamasi. Kama kweli kichwa changu kina makamasi naomba ukosoe kisomi kwa faida ya wenzetu. Watusi wanatokea wapi kihistoria? wewe utakuwa Mhaya punguani asiyujua chochote kazi kuvaa miwani na kufunga suruali tumboni while having nothing on your upstair and on your pocket.
  12. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais akienda Kanisani Ikulu itoe taarifa kwa vyombo vya habari?

    Mambo ya Arap Moi
  13. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Bwana Kenge nimekuelewa. Maana ndugu zake wapo serikalini hapa kwetu nimesoma nao.
  14. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Am sorry kweli nimepotoka
  15. Halfcaste

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Sura siyo ya Kinyarwanda ni ya Ki "Tutsi" maana watutsi wapo East, Central and Nothern Africa. Wanaitwa ''Nilo Himites" someni historia Watanzania mnatia kinyaa. Watutsi wamejaa Bukoba, Uganda, Rwanda ,Burundi na Kongo.
Back
Top Bottom