Halfcaste
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 972
- 215
Ndugu yangu ana minyoo ya Trichiura (Roundworms), anawashwa mkunduni anajikuna sana. Amepoteza weight. Ametumia kila aina ya dawa zisizokuwa na idadi kutoka kila nchi no relief. Madaktari wa Tanzania hawana msaada kwake. Ni zaidi ya mwaka sasa .Za mitishamba ndo kabisaa. Je, afanyeje msaada tafadhari.