Jimjuls
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 484
- 161
Sio sahihi katika kupandisha hicho kiwango.
Uongezaji wa makato haya bila taarifa ya mkopaji Ni uwizi. Ukiwauliza wanakwambia hiyo Ni " nyongeza Kwenye mkataba"( Addendum to the Contract) Kwa hiyo utailipa tu.
Tunaweza mtafuta mtaalamu wa sheria Na tukapinga nyongeza hii. Mimi Nipo tayari Kwa hili.
Hata ukichapisha sura Za wadaiwa haitasaidia. Cha msingi fuateni mbinu ambazo wadau wameshauri mara nyingi. Na ishu ya riba inapashwa kuondolewa kabisa Kwa kuwa hii Ndio inaongeza deni Linakuwa kubwa zaidi.
Mfano. Mimi nilimaliza mwaka 2012 Na hati ya deni kutoka Bodi ilikua 6 Million. Sasa baadaye mwaka huu 2016 nimeletewa hati ya 9 Million Na milioni 3 ikiwa ongezeko la riba ( loan administration fee, gharama ya kukutafuta, 1% ya mkopo mzima). Wakati kazi nimepata 2016.
Kwa hili hiyo Bodi inabidi wabadilike.