Recent content by halati88

  1. halati88

    Jinsi ya kutengeneza kashata

    Shukran mami
  2. halati88

    Jinsi ya kutengeneza kashata

    Habari zenu wapendwa mwenye kujua kupika kashata za ufuta naomba anielekeze pls
  3. halati88

    Ali Kiba - Lupela

    Binafsi imenivutia
  4. halati88

    Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

    Majini mahaba yanachangia mimba kutoka kwakuwa mwaka ni mganga ndio mana kaweza kumtibu huyo anatumia dawa za kisunnah hana tofauti na darasa anazotoa mzizimkavu kwikwi kwi
  5. halati88

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Namhurumia mtoa mada maana hakuna hata mmoja alieunga mkono hoja Ha Ha Ha Ha!
  6. halati88

    wataalamu nisaidieni

    free ram 405mb
  7. halati88

    wataalamu nisaidieni

    mkuu nimeshindwa kujua idadi kamili maana zinarun Ila total ram ni 1 GB,vp nikutumia sd card?
  8. halati88

    wataalamu nisaidieni

    Habari zenu,natumia simu ya startimes planet 5,ni miezi mitano toka niinunue ila sasa hivi display inakwama kwama hlf kudownload vitu inachukua muda mrefu ipo slow,youtube ndio kabisa video hazifunguki hata niweke bando kubwa,naombeni msaada
  9. halati88

    Smartphone inapatikana hapa mpya

    mkuu vifaa vya simu za startimes vinapatikana wapi?me natumia planet 5, chaja imekufa
  10. halati88

    Msaada: Ugonjwa wa Mdudu wa kidole

    Huu ugonjwa ulipata mdogo wangu akachanjwa kidole na kutiwa hayo maji ya betri ni km alichokoza vile usiku hakulala, kesho yake akapelekwa hospital wakampa cloxacillin na declofenac lakini hazikumsaidia chochote. Baada ya siku mbili akapelekwa hosptal nyingine kule walimpasua...
  11. halati88

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Huyu kasema niufate kariakoo mtaa wa pemba bei sh 3000
  12. halati88

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Huyu kasema nikiufata mwenyew ni sh 7000 na akiniletea ni elfu 8000, je sio kubwa?
Back
Top Bottom