Habari za wiki?
Baada ya kudunduliza kwa muda nimefanikiwa kupata mtaji wa kufanya biashara ya kukodisha majenereta. Ni mambo gani muhimu ninatakiwa nizingatie ili nisije kujifunza the hard way? Namna ya kuendesha biashara, connections, aina ya jenereta za kununua n.k
Frij au freezer nzur boss ni ile ambayo inakula unit 1 kwa siku kwa umeme wa leo. Ni vizur ukachukua frij/freezer mpya kabisaa aidha BOSS au BRUHM etc. Lakini kabla hujainunua iangalie stika yake ya power rating inayokuwa kwa nyuma Ya kifaa husika.
Vitoroli baiskeli ambavyo utavitumia kuajiri wafanyakazi wa kusambaza bidhaa zako wewe mwenyewe kama afanyavyo azam:
Ice cream za kishua
Lambalamba
Juice na milkshakes na smoothies
Kahawa za kishua
Kusambazia pizza
Kusambazia burgers na vitu vingine amazing
Vinafaa kwa huduma ya dry cleaning...
Ni kweli bwana. Ila ukimcheki jamaa mmoja anaenda kwa brand ya juice king anajiita insta kama juicekingtz amekuja na style mpya ambayo hata mimi nimeipenda
Hakuna aliyekamilika. Jifunze kuyakubali mapungufu yake na ufurahie mazuri yake. Kama anakukwaza mueleze. Mahusiano yenu yanajengwa na nyinyi wawili. Kama hamuongei hizi mambo unakuja kupost huku ni mapuuza na inapaswa uadhibiwe.!
mafanikio au maendeleo ni yako wewe. Ukichanganya mahusiano/mapenzi/wanawake na kazi utajikuta kimoja kati ya hivyo hukipi attention inavyotakiwa na utalose. Mfano ukiwa mtu wa mapenzi sana utakutana na changamoto zake mpaka utaanza kupoteza mzuka wa kupiga kazi, huna mood and at the end of the...
Bila pc hiyo haiwezekani. Pc is your only option. Since spark 2 bado ni simu mpya sokoni, tutorial straightforward ya kuroot bado haipo. But hovatek.com ni site ambayo kuna thread inaongelea kuroot spark 2
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa wa dar... Morogoro... Dodoma anichek kwa namba 0786938607
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa wa dar... Morogoro... Dodoma anichek kwa namba 0786938607
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.