CIU za mita za Tanesco

dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
23,220
54,851
Za Ausbuhi wana Jamii

Niende kwenye swali moja kwa moja kuhusu zile CIU za kuongeza unit kwa mita za tanesco, iwe ya kupachika kwenye soketi au ya wireless

Swali: Je, nini kitatokea pindi nitakapotumia CIU ya mtu mwingine , na kwanini

Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili nawasilisha
 
Inawezekana kutumia rimoti ya mtu mwingine lakin mbaka uiconvert iyo rimoti kwenda kwenye mita namba yako,cha kuzingatia rimoti ziwe za aina moja mfano kuna mita za wasion lakini upande wa rimoti ziko za aina mbili kuna RF na PLC,na kwenye RF hapo kuna ambazo upande wa juu kushoto kuna kialama cha na zengine hazina alama cha ,kwahiyo cha kuzingatia wakati unaconvert uconvert plc kwa plc,Rf kwa Rf kama yenye kwa yenye ,kama haina kwa ambayo haina nyenzie nadhani nitakuwa nimeeleweka kidogo,kama utaitaji namba za kuconvetia ni pm maana mita zinazotumia rimoti ziko za haina mbili kuna Wasion na Enhemeter na namba zake za kuconvetia ziko tofauti asante
 
umetiririka vizuri sana, chief
kabla ya kuninyavulia nilikua nadhani kwamba

1.unaweza tumia ciu yoyote ile ukaingiza token na kutuma, kisha mita yenye ikawa inacheki kama token ni moja kati ya nyingi ( kwa kutumia genereta) zinazo match na mita namba iliyokua 'pre-configured' ndani. ( yenyewe) la hasha

-kumbe ni kwamba unaconfigure meter no. katika ciu, ili ukituma token zinaenda pamoja ( meter no. + token ) mpaka katika mita, then apo mtiririko mwingine hufuata.

-kilichobaki kufaham ni namna ( protocol ) gani hii string ya meter no. + token zinakua 'attached + formatted' ( encoded ) kwa pamoja kisha kutumwa, hasa kwa njia ya RF

[HASHTAG]#mikumiyetu[/HASHTAG]
 
hahahaa, hapana mkuu, apa ni kutaka kujua kiundani kidogo kinachoendelea nyuma ya pazia kuhusu izi ciu, (plc+rf) lengo haswa ni kuunda ciu ( sms based ), ni icho tu
Safari moja huanzisha nyingine
Hamchelewi kuanza ku generate Token za LUKU
 
Safari moja huanzisha nyingine
Hamchelewi kuanza ku generate Token za LUKU
hapana mkuu, iyo ni sawa na kufight kupata vocha gen za mitandao, mi nipo kivingine kabisa , kujua mtiririko mzima jinsi token zinavyokua DELIVERED kwenda kwenye mita, ili niongezee njia , ukiachana na plc,rf, siusiki na token GEN kabisa
 
Kila la kheli baba
 
Inawezekana kutumia rimoti ya mtu mwingine lakin mbaka uiconvert iyo rimoti kwenda kwenye mita namba yako,cha kuzingatia rimoti ziwe za aina moja mfano kuna mita za wasion lakini upande wa rimoti ziko za aina mbili kuna RF na PLC,na kwenye RF hapo kuna ambazo upande wa juu kushoto kuna kialama cha na zengine hazina alama cha ,kwahiyo cha kuzingatia wakati unaconvert uconvert plc kwa plc,Rf kwa Rf kama yenye kwa yenye ,kama haina kwa ambayo haina nyenzie nadhani nitakuwa nimeeleweka kidogo,kama utaitaji namba za kuconvetia ni pm maana mita zinazotumia rimoti ziko za haina mbili kuna Wasion na Enhemeter na namba zake za kuconvetia ziko tofauti asante
Nahitaji msaada chief kwa namna ya kuconvert CIU ya mita moja kufanya kazi kwenye mita nyingine
 
Back
Top Bottom