Recent content by Haki Yetu

  1. H

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Huu sasa urojo...!! Watu wanaotumia masaburi kuwaza utawajua tu....
  2. H

    Makongoro Nyerere, kwanini unatukana kila mtu, Wassira, Mwigulu sasa Lowassa, kwanini

    Ni matusi gani aliyotukana??? Kama kweli ametukana, je wewe ni mwakilishi wa hao waliotukanwa??? Nadhan wewe ndo unatumika....
  3. H

    Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

    The issue is I don blame them, but I don find concrete reasons for this whether they are at hom or anywhere else. By the way they ddn break or violate any law, right???
  4. H

    Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

    Jus read the heading and relate it wth the pic buddy...
  5. H

    Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

    Sasa home stuffs na bia bar wapi na wapi? Umesema mwnyw kuna sababu ya kua na stock ya vitu hom. Sababu ya kupanga kreti zima mezani ni nini?? Ingekua enzi zile wakati bia ni shida hapo sawa, au kama wameenda kwny mabwalo ya jeshi (huko bei ni rafik kdg) nako inakubalika lkn kwny bar za kawaida...
  6. H

    Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

    Dah, hivi bado kuna watu wanafanya hii michezo???
  7. H

    Tofauti ya engine D4 na VVTi

    Hivi mbona kchwa cha habari ni tofaut na bandiko lenyewe??? Nimeingia kwa kasi ili nipate elimu but am disappointed. Nadhan title yako ingekua kwa mfumo wa swali...
  8. H

    Kina kaka jamani mbona mnasikitisha kiasi hiki?

    Kwani huyo shosti wako ni Mungu kwmba analokuambia unalibeba kama lilivyo. Hili ndo tatizo kubwa la akina dada wengi, wakiambiwa kitu wanakibeba kama mstari wa bible. Muulize yeye vzr akuthibitishie sio kutupotezea muda hapa....
  9. H

    Volkswagen inauzwa

    Inawezekana vipi utangaze biashara mtandaoni bila kuweka picha??? Tupia picha jamvin
  10. H

    Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

    CCM ni baba kwenu nyie ambao kula yenu inatoka huko. Kwa sie ambao tunajihangaikia wenyewe na kula yetu kwa taabu za hilo li chama lenu usitupigie kelele. Tunasubiria kwa hamu hiyo octoba kmya kmya bila kelele. Nyie jifurahisheni na kujifariji tu....
  11. H

    Life expectance ya Tanzania; Asume unapata mtoto ukiwa na miaka 30

    Na inavoonekana huwezi kuoa asilani, kwan hata unavoandika unaonekana bado ni tineja...!!!
  12. H

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hii mada itakua ni ukombozi mkubwa. Up to now nmeaona wengi tuna uelewa hafifu when it comes to cars. Badala ya kila siku watu kutoa mapovu on ACT, CDM, CCM nk, huku sie twapata elimu. Mwaveja sn....
  13. H

    Siku Hamad Rashid atakapotangaza kuhamia ACT-Wazalendo...

    Its now becoming soooooooo interesting.....!!! C'mon bring my popcorn I wanna enjoy this movie..
  14. H

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Mimi pendekezo langu ni moja tu, imetosha kuelekeza nguvu kwnye vifaa (magari). Nadhan ni muafaka kuelekeza nguvu kwa wanaoendesha hivy vifaa sasa. Process ya kuwapata madereva wa mabasi ni lazima iwe thorough...
  15. H

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu mwenye uelewa na VW Golf tafadhali. Nipo kwenye mchakato wa kujichanga ili Mungu akipenda nivute hiyo kitu. Ushauri wa ujumla tafadhali
Back
Top Bottom