Recent content by HAKI HAIPOTE

  1. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Suala la DP world limeingia kanisani CCM Mjipange

    Well noted
  2. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Hoja tano kwanini Mbowe anaonekana kubambikiwa kesi

    Mimi Kwa jicho la tatu naona kama hapa mama anauzwa na wasaidizi wake Kwa sababu amini kabisa suala la katiba si chadema tu hata ccm wanatamani Sana na wanajua sio rahisi kutumia ngozi zao halisi kudai Kwa sababu kumuita mbowe gaidi ni kumpa umaarufu zaidi especially umeenda kumkamata kwenye...
  3. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Pale unapovaa t-shirt ya katiba mpya huku unapinga katiba mpya mpaka raha
  4. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?

    Kwanza ukitaka kujua elewa kwanza angalau maana inayokubalika angalau kuwa halisi ya uchumi (LORD ROBBIN). Pili kwa hali aliyoikuta Rais alitakiwa aanze na kipi? (SCALE OF PREFFERENCE),tatu je vipimo vp ni sahihi kutambua uchumi wa nchi?
  5. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

    mmmmmh mh yeriko hii tabu ya kujua maana mataifa yanayopigana sana chanzo ni watu kujua haki zao ila hapa bongo hii amani ni bwabwaja tu
  6. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM: Bila Nape na Bashe CCM itakufa

    kwa njama za ccm buyungu itaenda lkn kwa kura halali haiwezekani
  7. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Je, Maaskofu walipuuza hisia za waumini wao?

    Mtumishi wa Mungu hutoa kile amepewa na Mungu na si binadmu na haijalishi wataupokea au lah
  8. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure

    Ndg wana bodi Siku za hivi karibuni kumekuwa .na hamahama ya wanasiasa hapa nchini na kufikia hatua ya kuanza utumwa wa siasa yaani slave trade. Wahenga walisema ukiona kiza kimezidi ujue kunakaribia kupambazuka, ni kweli kwa hali iliyopo sasa nchini ni dhahiri ushindi kwa chadema uko inje inje...
  9. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Ulinganishi CCM huku na CHADEMA kule

    mmmmh kwa hayo ukweli mtupu sifikiriii na bado sinaga mpango
  10. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Weka jicho Kahama Mjini juu ya barabara, hali ni mbaya

    KAHAMA panasikitisha sana yaani watu mhongwe sufuria halafu utegemee barabara yaani halimashauri yote madiwani mbunge ccm halafu unasubiri barabara haahaaaa pole sana pambana na hali yako
  11. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania SAUTI YA LISSU AKIUNGURUMA: Awashukuru Watanzania kwa kumuombea

    oyooooo kamandaaaaaa
  12. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania 2019 sio mbali, ukweli utaendelea kusemwa kwa namna hii?

    viwandaaaaaaaa
  13. HAKI HAIPOTE

    JamiiForums Tanzania Kwa IGP Sirro kuhusu ushirikiano na Polisi

    akikujibu njoo chukua noa hapa
Back
Top Bottom