Kwa IGP Sirro kuhusu ushirikiano na Polisi

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
luka 1:
1 Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

2 Kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

3 Nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Ee kamanda Sirro,

4 Upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.

5 Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na Mbunge mmoja, jina lake Tundu Lisu, wa chadema,.....

Baada ya kupigwa risasi kama ujuavyo Ee Sirro ulisema kuwa uchunguzi unaendelea na wenye taarifa wazilete ili kuisaidia polisi...
wakati unajibu hoja ulisema "lisu hajaripoti polisi kuhusu kutishiwa maisha..hajaripoti polisi" naam

1. Hussein Bashe aliwahi kusema "mbele ya vyombo vya habari" kuna wabunge 11 wanatarajiwa kutekwa...nadhani hajawahi kuripoti polisi...
2. Nape alisema alisema "mbele ya vyombo vya habari" Gari na probably (watu) waliomshambulia LIsu ndio hao hao wanamvizia yeye..nadhani hajawahi kuripoti polisi..
3.TAL alitaja namba za gari na idadi ya watu "mbele ya vyombo vya habari" hajawahi kuripoti polisi
4. nape NAuye alitolewa bastola "mbele ya vyombo vya habari" naye hajawahi kuripoti polisi...

Kamanda Sirro...
1. Gwajima aliwahi kushtakiwa kwa kumkashifu Pengo kwa kutumia ushahidi wa video clip...nani aliripoti polisi?
2. ulisema mara kwa mara mnamkamata TAL kutokana na Kauli Zake...nani huwa anaripoti polisi?
3. Jana mmezuia maombezi pale Sinza ya Bavicha na Watanzania wengine... nani ameripoti polisi?
4.Kesi ya Yericco Nyerere ya uchochezi...nani ameripoti polisi?
5. Kesi ya Isack ya kumkashifu Raisi..nani aliripoti polisi?

Je, ni ushirikiano gani haswa unautaka kwa raia ili uwasaidie? TAL alisema mbele ya waandishi na akakutaja wewe kabisa lakini unadai hakuripoti polisi, je, kwa mfano TAL angekutukana mbele ya waandishi wa habari ......ungemkamata au usingemkamata?

Asante..
Wako katika ushirikiano na polisi
Allan
 
Ukitaka akujibu haraka muwekee Tshirt ya Pray4Lissu
 
'Ushirikiano na Polisi'.. hii ishu imenitia hasira zaidi. Hizi double standards za vyombo vyetu vya ulinzi sioni kama zitatuacha salama
 
Kwanza tujue,je hawafagamu 'watu wasiojulikana' kweli?
Halafu atafute ushirikiano wa kweli sio kutuzuga na komedi za hovyo
 
Back
Top Bottom