Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,277
Suala la mkataba wa bandar linakoelekea linaenda kuigawanya nchi vipande viwili na utakuwa mpasuko ambao hauwezekani kutia kiraka.
Serikali iliyoko madarakani wajipange kujinasua kwenye huu mkataba. Kanisa la roma sio la mchezo mchezo wakiwa na mambo yao jua hawafanyi kwa kubahatisha yana mibaraka yote toka kwa papa. Kama ngoma imesomwa makanisa yote ya tanzania mjiulize tu population karibu nusu ya watanzania ni waroma.
Ikumbukwe madhebu yote ya kikristo hawaukubali huu mkataba nna huku ndo samia ana wapigakura wengi sana.
Serikali mtakuww bize kukamata wahaini na kuwafunga ila jueni mnapinduliwa kutokea makanisani tena kwa lugja laini ya kubembeleza.
Mtakuja kuona kwenye sanduku la kira kila kitu kimehamia upande usio wa kwenu.
Nakupa ushauri tu rais wangu mpendwa mama samia. This time wasikilize wananchi wako, achana na chawa wanaokuimbia mapambia asubuhi na mchana kuwa mpo kwenye right track kumbe reli ishaacha treni