HAKI HAIPOTE
Member
- Aug 3, 2017
- 54
- 41
Ndg wana bodi
Siku za hivi karibuni kumekuwa .na hamahama ya wanasiasa hapa nchini na kufikia hatua ya kuanza utumwa wa siasa yaani slave trade. Wahenga walisema ukiona kiza kimezidi ujue kunakaribia kupambazuka, ni kweli kwa hali iliyopo sasa nchini ni dhahiri ushindi kwa chadema uko inje inje yaani wakipatia tu njia kidogo basi hali kwao nzuri. Kwa sasa ccm inatumia mamlaka za kiserikali kutafta ushindi jambo ambalo ni rahisi sana kulinyamazisha. Jmabo la kufanya kwa sasa kwa chadema ni kuacha kutegemea wanachama toka ccm ukiangalia kwa harakaharaka utagundua wengi waliohama ni wale walokua ccm mwanzo na hivyo kukosa itikadi za chadema kwa sasa chadema ijikte katika kufua vijana wanachama chipukizi wapya kuliko kutegemea kina wema ambao tunawapokea kwa mbwembwe na hawaijui chadema vizuri
Nawasilisha