Recent content by hahoyaa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa PhDs na hatma ya Tanzania

    Unaongelea hz PhD bongo movie au!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine Akamatwa Tena Muda Mfupi Baada ya Kuondolewa Mashtaka

    Hata huko ataachiwa tu waganda sio watu WA mchezomchezo..M7 mwenyewe kagwaya mtaani vijana wamemuwashia moto hii filamu ni tamu na ni into kwa madicteta wote. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kata 4 za Mbeya Mjini wasimamizi wa uchaguzi wagoma kupokea fomu za wagombea katika kata 3

    Watu watachoka tu iko Sikh hawatakubali kuonewa tena.Nakumbuka nikiwa mtoto nilikuwa nasumbuliwa na sicklecell so nilikuwa dhaifu,kuna kijana mmoja jirani yangu alikuwa akinipiga kila aliponiona akiamini mm ni mnyonge wake,kunasiku nilichoka nikamtolea uvivu ,nilichuchukuwa gunzi la mhindi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Anaandika Absalom Kibanda

    Dicteta mwenzie katikiswa kaufyta M7..huyu ni muoga sana wala sio jasiri kma unavyodhani time will tell Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa wasifu wa Mkurugenzi wa Wilaya ya Korogwe

    Mheshimiwa Chenge pia alisoma Harvard. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania MOSHI : Polisi Line wanaishi gizani kwa kukosa umeme mwezi mzima sasa kwa deni la 1 Bilion

    Tunasikia kilasiku wamekamata magari na wamepata mabilioni,walipe tu mtaani mnatunyanyasa kumbe hata uwezo wakulipa bili ya umeme hawana...Walipe tu,Malipo hapahapa duniani,nasubiria biliani la mbuzi umeme uko full karibuni wana jf Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimepata mgeni wa ajabu sana

    Msela nnya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

    HV inawezekana kuiblock TBC?natumia king'amuzi cha azam.inanikera sana.
  9. H

    JamiiForums Tanzania TCRA vs maudhui ya bure FTA vs maudhui ya kulipia

    Siwazime na ving'amuzi vyenyewe tu,hii nchi inachosha leo naskia tena natakiwa kumiliki line moja inachosha.Ukiamka hujui kuna nn kitakuja kesho ni mashaka tu,aaah fanyeni mnachotaka.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mohammad Dewji shut that little mouth up!

    Unapoleta mada uwe umeshiba weledi wakutosha juu unachokizumzia sio unakurupuka,Mo mhindi unamuita mwarabu,nibora ukabaki mchangiaji humu Jf kunavichwa unawezajiona hata hukwenda shule wakakuharibia nasiku yako bure!! Pole b'dada.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Lissu ama Zitto 2020: Magufuli atapata tabu sana

    Huku hana kitu msidanganywe maisha mnayoishi hayana tofauti na huku,kwalipi tumuunge mkono?SAMAKI sasa ni almasi,mifugo ukinunua ulipe 20,000 kwa ng'ombe,jina gari ulipie 5000 kwa km,sukari 3000kwa kilo,cement 20000,mche WA sabuni 1500,mafuta ya kula kibaba 500.huo uungaji mkono utoke wapi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli mizigo anaiona ya wanasiasa kuhama vyama tu, hivi kupanda kwa bei bidhaa, hakuna ajira, elimu mbovu, madawa hakuna,sio mizigo kwa wanyonge

    Huo ndio ukweli huku mtaani hali ni ngumu mno...kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa,bei zabidhaa zinatisha wala hakuna MTU anajali wako bizzy na kiki.Sio kila msomi ni kiongozi,wengine ni makapi tu ya wasomi serikali imejaza PhD holders kwenye uongozi mambo yako hovyo kiasi hiki!!hakyaMungu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu na baadhi ya wabunge wake inawezekana kabisa mwaka 2015 hawakushinda

    Huu uoga mm pia unanishangaza sana...mbona hawajiamini kadri cku zinavyokwenda!
  14. H

    JamiiForums Tanzania DAR: Mwita Waitara achukua fomu ya kugombea Ubunge kupitia CCM

    Kwani huamini mkuu?
Back
Top Bottom