Tido mtoga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 514
- 433
Mheshimiwa punguza jazba sisi ni binadamu kubadilika kupo.Magufuli hawezi kubadilika, MAGUFULI Ni prentenda Ni mtu mwenye kupenda kulipa visasi. Ni mtu asiesamehe, Magufuli hawezi kubadilika mpaka siku atakapowekwa ndani au kuzungukwa na watanzania kwa mabaya aliyoyafanya. Magufuli ataaribu yote mazuri aliyoyafanya. Sifa, Kiburi Kiburi kujiona kuwa yeye Ni mkubwa kuliko MUNGU. Magufuli anajiona hawezi kufa, anajiona ataishi milele na kuongoza milele. Magufuli Hana akili ya kujua dunia inaenda wapi na tuko wapi, Magufuli anaangalia ya sasa. Hana upeo wa kusoma nyakati kujua dunia inaenda wapi. Magufuli atakuja kupata tabu na mtayasahau yote aliyoyafanya na hawa wanaomwabudu na kumtumikia kwa kuua watu watamkana. Muda unakuja na Wala siyo mbali
Sent using Jamii Forums mobile app